Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC: Watanzania hawataki mtu atakayeuza madini yao kwa wageni nje

Kwani huyo Mkurugenzi alitaja jina?.Unajuaje kama alimaanisha Lissu au Hashimu Rungwe!
 
Mtu aliyeahidi uongo wa sh 50m/- kila kijiji nae aitwe maana akiulizwa wanasema anatukanwa
 
Kwani wakina mwigulu, Nape, Wasira na wakina Mwakyembe wakati wakimtukana na kumpaka matope Lowassa 2015 tume ilikuwa haijui wanatakaiwa kuomba kura na sio matusi jukwaani?

Wakina msukuma, mwigulu na Wana ccm wengine wanamtusi Lissu ni Kibaraka aliyetumwa na Mabeberu hizo ndizo Sera zao?

Hatari sana kujisahau kiasi hiki naona tume sasa inakosa Ethics na kuanza kunadi sera za chama kimoja..

Anyway ngoja jamaa atimbe huko naona hawajamjua vizur, nahis wanamsikia sikia tu sasa wanaenda kuonana nae Live wataisoma namba..na kama mnavyomjua jamaa akishatoka atatapika yote waliyoongea. Solution ya hii mashine ilikuwa ni kuitoa uhai tu. Sasa imefeli sijui watamkamatia wapi
 
NEC nao wameanza kampeni kuokoa jahazi, kweli maji mu shingo.
 
Ukimsikiliza huyu mkurugenzi, majimbo yote aliyoyafanyia ziara ili kuhakikisha mipango ya uchaguzi inaenda salama ni yale majimbo ya ki mkakati.

Tarime,
Hai
Rombo nk
 
Kwani huyo mkurugenzi anagombea urais kupitia chama gani? Watanzania tuna masikio, hayo matusi ya Lissu anasikia peke yake tu?
Robert Amsterdam kusanya details mzee, Mungu anawachapa mmoja mmoja sasa wanaanza kuropoka maneno pasipo takiwa - Refa anapogeuka kocha!!
 
Kwani wakina mwigulu, Nape, Wasira na wakina Mwakyembe wakati wakimtukana na kumpaka matope Lowassa 2015 tume ilikuwa haijui wanatakaiwa kuomba kura na sio matusi jukwaani
Mfamaji haishi kutapatapa
 
Hii inanikumbusha mwaka flan simba ilipoenda kucheza misri na Zamaleki,baada ya warabu kubanwa,hatimae wakapata goli,refa akaruka kuonyesha ishara ya kufurahia simba kufungwa.
Hizi story zakizamani sana Mkuu,mwaka fulani ndio mwaka gani? leta habari inayojitosheleza tuitafute hiyo mechi,hizo ni story za enzi zile Dunia ilikua haijapiga hatua kubwa kwenye teknolijia ya mawasiliano.
 
Huyu Mahera hana sifa ya kuwa mkurugenzi wa tume aachie ofisi mara moja aambatane na akina Diamond na Konde boy.
 
Wewe lilipokuwa linavuta mdomo kwenda mbele hukuliona? Huko kwenye majukwaa Kwan lazima utaje jina? Ukisimama ukasema chagua rais ambae ataleta uhuru haki na Maendeleo Ya watu, wananchi si wanajua kuwa anaehusika huko ni lisu? Au ukisema chagua anaetetea nchi wananchi si wanajua kuwa hiyo ni neno la makatiri wote duniani? Kwan Kati ya wagombea wote ina maana wewe humjui katiri? Kwan lazima utaje? Usifikirie kutumia matako jiongeze kidogo, makatiri waliweza miaka mitano hii inayoisha huku mbele tutakula sahani moja had kieleweke, litamdhibiti lisu ataingia mwingne Kwa kas zaid ya lisu atatoka tu


Anapigaje kampeni Wakati yeye ni msimamiz wa Uchaguzi? Nchi hii imevurugwa mno, sijui hawa wahutu walitokea wapi MUNGU Wangu, na wote wamewekwa sehemu zile zile za kusimamia haki, hapa nikujiongeza tu kuamua liwalo liwe ili mrad kuyasafisha haya mahutu yaondoke Yote, yani yamefikia hatua Ya wasimamiz wa Uchaguzi wanapiga kampeni? Haya majitu hata zile karatas za kutangaza washindi wa ubunge na rais yatakuwa yameishaziandaa haya yako nazo yanasubiri tu kutimiza muda yasisambaze kwa wakurugenzi watanzania tuamke tuyavurushe kwenye Ofis za umma, haya ndio huwa huko mwisho nchi ikishakombolewa kila mwananchi anataka kula Nyama yao
 
Mimi nasema mtu neutral anatakiwa azungumzie kanuni na taratibu za uchaguzi Kuhusu sera na madini. Barabara n.k sio jambo la busaara kulizungumzia Yeye abakie kua ni refa au muamuzi...
Tatizo ni kuwa hata watakayemtangaza ni huyo aliyewachagua. Ndio maana anaimba mashairi yake.
 
Yani amejisahau mpaka ameonesha rangi zake halisi kwamba ni kada mtiifu wa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…