Kwani huyo Mkurugenzi alitaja jina?.Unajuaje kama alimaanisha Lissu au Hashimu Rungwe!Wakuu, huyu Mkurugenzi wa tume Ya Uchaguzi nilimsikiliza Lakini nikasikitika alipowashawishi wananchi wamchague rais ambae anatetea maslahi Ya nchi nikashangaa Sana kuwa huyu anatumia nini kufikiri? Haya majitu yamepora hii nchi, ulisikia wapi Mkurugenzi wa Uchaguzi anapiga kampeni?...