Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC: Watanzania hawataki mtu atakayeuza madini yao kwa wageni nje

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, amesema watanzania wanataka Afya iliyoimarika, barabara nzuri, miradi ya umeme, elimu bora hawataki blah! Blah!

Amesema watanzania hawataki viongozi watakaochukua madini yao na kwenda kuyauza kwa wageni nje, watanzania wanataka viongozi watakaotetea madini yao

Ameyasema hayo alipokuwa anazungumza kumuandikia barua Tundu Lissu ili kutoa maelezo dhidi ya tuhuma za uongo anazotuhumiwa kuzitoa

Amesema Tundu Lissu amekuwa akitangaza matusi, tuhuma na kudanganya wafanyakazi badala ya kutangaza sera

==
YALIYOZUNGUMZWA KWENYE VIDEO YA MKURUGENZI WA UCHAGUZI NEC

Kwa mamlaka ya kisheria Tume iliyonayo, tayari imemuandikia Barua Mh. Tundu Lissu ya kumuita katika Kamati ya Maadili ya Kitaifa ili aje kutoa maelezo na ushahidi wa kile alichokisema katika mkutano wake huko Musoma.

Kwa mara nyengine tena Tume inawasihi Wagombea wa Vyama vyote kufuata sheria, kanuni na taratibu za nchi ili kulinda amani ya nchi yetu, katika kipindi cha kampeni kilichobaki kwa kujali muda wa kampeni, ratiba za kampeni na kuepuka matusi, sababu unatumia muda mwingi kutangaza matusi badala ya kutangaza sera, unatumia muda mwingi kutangaza tuhuma badala ya kutangaza sera, unatumia muda mwingi kuwadanganya Watanzania na wafanyakazi badala ya kutangaza sera.

Watanzania sasa hivi wanataka Afya iliyoimarika, Watanzania sasa hivi wanataka barabara nzuri, Watanzania sasa hivi wanataka miradi ya umeme, Watanzania sasa hivi wanataka elimu bora, Watanzania hawataki bra bra. Watanzania sasa hivi wanataka viongozi ambao watalinda madini yao, sio viongozi watakaokuja kuchukua madini yao na kupeleka kwa wageni nje.
Hana mamlaka ya kuwapangia wa tanzania nini wanataka pia madini yapi ambayo bado hayajauzwa kwa mabeberu!?? Aendelee kupokea tu maelekezo kutoka juu lissu amesema mwaka huu watawagawana na hatomwachia mungu na aendelee kuziba maskio kama ambayo hawakuamini kama atapona, atarudi nchini na atagombea uraisi pia atakuwa raisi wa tanzania mpya yenye furaha ndivyo pia hawaoni mbele yao kwamba wakiharibu uchaguzi watagawanwa kweli 😇😇
 
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, amesema watanzania wanataka Afya iliyoimarika, barabara nzuri, miradi ya umeme, elimu bora hawataki blah! Blah!

Amesema watanzania hawataki viongozi watakaochukua madini yao na kwenda kuyauza kwa wageni nje, watanzania wanataka viongozi watakaotetea madini yao

Ameyasema hayo alipokuwa anazungumza kumuandikia barua Tundu Lissu ili kutoa maelezo dhidi ya tuhuma za uongo anazotuhumiwa kuzitoa

Amesema Tundu Lissu amekuwa akitangaza matusi, tuhuma na kudanganya wafanyakazi badala ya kutangaza sera

==
YALIYOZUNGUMZWA KWENYE VIDEO YA MKURUGENZI WA UCHAGUZI NEC

Kwa mamlaka ya kisheria Tume iliyonayo, tayari imemuandikia Barua Mh. Tundu Lissu ya kumuita katika Kamati ya Maadili ya Kitaifa ili aje kutoa maelezo na ushahidi wa kile alichokisema katika mkutano wake huko Musoma.

Kwa mara nyengine tena Tume inawasihi Wagombea wa Vyama vyote kufuata sheria, kanuni na taratibu za nchi ili kulinda amani ya nchi yetu, katika kipindi cha kampeni kilichobaki kwa kujali muda wa kampeni, ratiba za kampeni na kuepuka matusi, sababu unatumia muda mwingi kutangaza matusi badala ya kutangaza sera, unatumia muda mwingi kutangaza tuhuma badala ya kutangaza sera, unatumia muda mwingi kuwadanganya Watanzania na wafanyakazi badala ya kutangaza sera.

Watanzania sasa hivi wanataka Afya iliyoimarika, Watanzania sasa hivi wanataka barabara nzuri, Watanzania sasa hivi wanataka miradi ya umeme, Watanzania sasa hivi wanataka elimu bora, Watanzania hawataki bra bra. Watanzania sasa hivi wanataka viongozi ambao watalinda madini yao, sio viongozi watakaokuja kuchukua madini yao na kupeleka kwa wageni nje.
Kama anajua Mgombea atauza madini yetu nje ya nchi kwa nini amempitisha? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
TUME ya uchaguzi haina mamlaka ya kisheria ya kumuita mgombea katika Kamati ya Maadili ya Kitaifa, Mkurugenzi wa Uchaguzi anapozungumza mamlaka ya kisheria inapaswa amalize kwa kutaja kifungu kamili na jina la sheria husika inayompa yeye au TUME mamlaka hayo.

Kamati ya Maadili ya Kitaifa, TUME ina uwezo wa kwasilisha malalamiko tu mbele ya kamati na sio kumuita mgombea, hii ni kwa mujibu wa aya ya 5.4 ya Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na madiwani ya mwaka 2020.

View attachment 1583250

Kwa mujibu wa aya 5.2.2 ya Maadili ya Uchaguzi 2020, Kamati ya Kitaifa inaundwa na watu wengi ikiwa na mjumbe wa kutoka TUME ya uchaguzi ambaye ndiye mwenyekiti wa Kamati, sasa bwana Mahera amejitokeza katika vyombo vya habari kama Mkurugenzi wa Uchaguzi na sio mwenyekiti wa kamati ya Maadili ya Kitaifa (kama ni mjumbe huko), ambayo inafanya jambo zima kuwa batili. TUME ina idara ya Sheria, ni aibu kufanya madudu ilhali watu wanalipwa mshahara na wanashindwa kushauri ipasavyo, huku ni kuchezea kodi zetu

View attachment 1583251
Hongera sana mkuu kwa kuiileta hii.
 
Mulitaka atoke kenya?
Kama mtanzania mwenye uzalendo ana haki ya kulinda yaliyo mema na kukosoa maovu
Hapo ameongea akiwa mkurugenzi lakini kama mtanzania
 
Mimi kimsingi sikubalian na matamshi ya mkurugenz wa NEC kwasababu tayari ameonyesha dalili ya upendeleo fulani kwenye uchaguzi huu,kwani yeye amekuwa mgombea tayari? Na ni wa chama gan? Amejuaje kuwa kuna mgombea atapeleka madin nje ya nchi? Ni vizuri wazee wa chi hii wakaa pamoja na huyu mtu wakamkemea kwa matamshi yake haya wala haya afya kwa mustakabali wa uchaguzi huu.tayari ana personal interest kwa chama chake.naomba tusifike huko tafadhalini kabisa tuwe huru na haki kwa vyama vyote.
Huyu mahela anaonekana ni mtu mwenye uwezo mdogo sana wa akili.

Watu wa namna hii ni rahisi sana kutumika na wakaleta maangamizi kwa Taifa. Watu wenye akili ndogo huweza kutumika kama robot.

Watanzania tusiyapuuze maneno ya huyu mahela. Watu wenye IQ ndogo kama huyu mahela wanapopewa madaraka makubwa, tena juu ya watu wengi wanaowazidi akili, mara nyingi, maeneo mengi duniani wamesababisha maafa. Huwa hawana uwezo wa kupima madhara ya matendo yao, kwa sababu ya uwezo mdogo. Wao huangalia tu shibe ya siku hiyo, japo kuna wakati wanaishia kupoteza hiyo shibe na kuangamia.

Watu wa aina ya mahela, hata aliyemteua anajua kuwa amemteua mtu mwenye akili ndogo ambaye anaweza kumchezesha kwa namna anavyotaka. Mtu nwenye akili kubwa hawezi kukubali kuchezeshwa kwa mambo yanayomwondolea utu wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan huyu kweli mpuuzi anaonyesha wazi wazi ametumwa kwa hali hii hata tukishinda hawatamtangaza Lissu
Kikubwa jamani ni kufanya Jihad kama wale ISIS ili kumuunga mkono Raisi Lissu wakujitoa sadaka tupo kutetea wengine sisi wengine duniani hatuna cha kupoteza hatuwezi kuvumilia ushenzi wa CCM
 
CCM MMLIDAI MNA MBINU ZAIDI YA 1000 ZA KUSHINDA UCHAGUZI.
KAMA MBINU ZENYEWE NDIO HIZI BASI NYIE NI MAITI INAYOTEMBEA.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, amesema watanzania wanataka Afya iliyoimarika, barabara nzuri, miradi ya umeme, elimu bora hawataki blah! Blah!

Amesema watanzania hawataki viongozi watakaochukua madini yao na kwenda kuyauza kwa wageni nje, watanzania wanataka viongozi watakaotetea madini yao

Ameyasema hayo alipokuwa anazungumza kumuandikia barua Tundu Lissu ili kutoa maelezo dhidi ya tuhuma za uongo anazotuhumiwa kuzitoa

Amesema Tundu Lissu amekuwa akitangaza matusi, tuhuma na kudanganya wafanyakazi badala ya kutangaza sera

==
YALIYOZUNGUMZWA KWENYE VIDEO YA MKURUGENZI WA UCHAGUZI NEC

Kwa mamlaka ya kisheria Tume iliyonayo, tayari imemuandikia Barua Mh. Tundu Lissu ya kumuita katika Kamati ya Maadili ya Kitaifa ili aje kutoa maelezo na ushahidi wa kile alichokisema katika mkutano wake huko Musoma.

Kwa mara nyengine tena Tume inawasihi Wagombea wa Vyama vyote kufuata sheria, kanuni na taratibu za nchi ili kulinda amani ya nchi yetu, katika kipindi cha kampeni kilichobaki kwa kujali muda wa kampeni, ratiba za kampeni na kuepuka matusi, sababu unatumia muda mwingi kutangaza matusi badala ya kutangaza sera, unatumia muda mwingi kutangaza tuhuma badala ya kutangaza sera, unatumia muda mwingi kuwadanganya Watanzania na wafanyakazi badala ya kutangaza sera.

Watanzania sasa hivi wanataka Afya iliyoimarika, Watanzania sasa hivi wanataka barabara nzuri, Watanzania sasa hivi wanataka miradi ya umeme, Watanzania sasa hivi wanataka elimu bora, Watanzania hawataki bra bra. Watanzania sasa hivi wanataka viongozi ambao watalinda madini yao, sio viongozi watakaokuja kuchukua madini yao na kupeleka kwa wageni nje.
'MDHIBITI WA VYAMA VYA UPINZANI' katika ubora wake.
 
Aisee,aibu ya mwaka na Uchaguzi wa kwanza,madudu ya ajabu
 
Sasa hii imekuwa too much...

Hivi huyu mkurugenzi wa NEC anajua wajibu na majukumu yake kweli?

Sasa kama hatangazi sera na badala yake anatangaza ambayo yeye anayaita "matusi", yeye inamhusu nini kwa sababu waamuzi ni wapiga kura?

By the way, " kutukana mtu" is a criminal offense. Ni nani kaenda kulalamika kuwa ametukanwa?

Halafu huyu bwana kaenda mbali kweli kwa kusema eti anatangaza sera za uongo, zisizotekelezeka na anawadanganya wafanyakazi....

Maswali ni;

1. Ni Sera gani za uongo hizo?

2. Sera gani alizotangaza Tundu Lissu "ambazo hazitekelezeki kwa muono na mtazamo wake?" Yeye anajuaje kuwa hazitekelezeki?

3. Kawadanganya au kasema la uongo lipi juu ya wafanyakazi?

By the way, huyu Charles Mahera ni nani hasa? Anataka nini hapo?

Hii clip ni ushahidi tosha kuwa hapo hatuna Tume ya Uchaguzi huru. Huyu ni mgombea Urais wa CCM aliyevaa koti la NEC....!!
 
Ni aibu Sana kwa mgombea Urais kutamka hadharani kuwa ataweka rehani mali zetu na watu wanamshangilia.
 
Mahera Ni kilaza Sana yaani ajui hata Sasa yanauzwa kwa wageni. Apande jukwaani aokoe jahazi. Lisu bado anapiga Kanda ya ziwa ngome yao ndo wamepoteana hivi vipi akishuka huku waliozulumiwa korosho zao je si kibetrii kitakata Moto.
Jiwe ana hali ngumu sana, kwasababu nyanda za juu kusini bado, kanda ya kaskazini bado na kusini kwenye korosho bado. Kote huko bado jiwe hajafika
 
Salam zangu zikufikie Nifah.
Yaliyopo katika mioyo ya wahovu yatadhihiri hadharani, Mungu anatudhihirishia yaliyopangwa sirini kupitia Lisu. Wanajitokeza wenyewe waziwazi ili watanzania tujue.

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app

Jamani nimekumisi na hiyo avatar yako naipendaga, lol.

Mkuu, nimepagawa kwa moto anaouwasha Lissu. Haya ndiyo mambo watesi wetu hawataki kusikia, ndio maana walitaka kuukatisha uhai wake kikatili.
Mungu wetu ni Mkuu, watesi wetu ndio wanaoteseka sasa baada ya miaka hii mitano michungu waliyotupitisha.

Kinachonipa tumaini kuu ni kwamba, kisiasa Lissu ni bado kijana... anao muda mwingi sana wa kukiwasha hata wakitudhulumu mwaka huu.
Kwa jinsi mambo yalivyo, baada ya miaka 10-20 ijayo CCM itang’ooka madarakani.
 
Kwahiyo naye ameamua kutangaza upande wake waziwazi. Amekuwa campaign team member wa jiwe siyo? Watashindana lakini........? (kwa sauti ya Mzee wa Upako) [emoji23][emoji23]
Lakini Hawatashinda,mkurugenzi mzimaaa wa NEC anayasema haya!!!!!!makubwa,huyu ndio anakwenda kuharibu kura kwa nguvu na kuipa ccm ,mbona wamekuwa waoga hivi sera za chama kongwe hazilipi tena??
 
Tangu mfumo wa vyama vingi uanze, hatujawahi kuwa na mkurugenzi wa NEC mjinga kama huyu. Akiwa hai na anayemlinda akatoka madarakani, inabidi ashitakiwe kwa kuvuruga uchaguzi kwa makusudi. Wenyeviti na wakurugenzi wote wa NEC waliopita walikuwa wana CCM lakini siyo kwa kiwango hiki. Waliufanya upendeleo wao kwa kificho. Wananchi tujiandae kuleta mabadiliko - ama kwa damu ama kwa jasho. Tume haiitomtangaza Lissu hata akishinda.

Back
Top Bottom