Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC: Watanzania hawataki mtu atakayeuza madini yao kwa wageni nje

Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC: Watanzania hawataki mtu atakayeuza madini yao kwa wageni nje

Yani mnatetea mtu anaetaka kuweka rehani ardhi yetu? Unajidai upo deep kumbe umejaza manyoya tu kichwani. Mkiona hamuwezi kuisapoti CCM bora mkae kimya kuliko kutetea uovu.
ardhi jiwe alishaiweka rehani mbona siku nyingi ndo maana maeneo mbali mbali baada ya Lisu kukemea na kupiga kelele raisi katangaza kuwarudishia wananchi ardhi yao
 
kama kweli unmasikio basi yatakuwa hayafanyi kazi yaani lissu anavyotukana wewe husikii?
Sijasikia na labda kweli masikio yangu yana shida, sasa naomba uniwekee video clip moja tu ya kunithibitishia kwamba LISSU anatukana ili tumalize hizi ngonjera za matusi ya Lissu.
 
Mkurugenzi anamsaidia bosi kupiga kampeni,sijui na yeye atahojiwa na nani kwa kuingilia mchakato wa kampeni
Atambue wajibu wake,na askangalie maslahi take,awe mzalendo as kweli na so mzalendo maslahi.
 
ardhi jiwe alishaiweka rehani mbona siku nyingi ndo maana maeneo mbali mbali baada ya Lisu kukemea na kupiga kelele raisi katangaza kuwarudishia wananchi ardhi yao
Mtukufu magufuli kapagawa sasa anaweweseka mara amtume polepole kuwaita wapinzani misukule mara kamtuma mkurugenziccm wa Tumeccm kusemea madini kana kwamba mkurugenziccm na yeye ni mgombea Urais, ni dhahiri huko CCM kumewaka moto hawajui waende na lipi unyanyasaji uonevu wao wote umewaponza jamii imewakataa
 
Atambue wajibu wake,na askangalie maslahi take,awe mzalendo as kweli na so mzalendo maslahi.
CCM hakuna mzalendo wote ni wapigaji hakuna msafi wala malaika huko CCM
 
Ahsante sana Mkurugenzi kwa kuwakumbusha na kuwaelekeza wagombea.
maana unawajibu wa kuvikumbusha vyama virudi ktk makusudio ya kampeni na matarajio ya wananchi badala ya kwenda nje ya matarajio ya watanzania.
wenye akili timamu wamekuelewa mkurugenzi ulicho kisema.
 
Ahsante sana Mkurugenzi kwa kuwakumbusha na kuwaelekeza wagombea.
maana unawajibu wa kuvikumbusha vyama virudi ktk makusudio ya kampeni na matarajio ya wananchi badala ya kwenda nje ya matarajio ya watanzania.
wenye akili timamu wamekuelewa mkurugenzi ulicho kisema.
Watanzania wenye Akili timamu hawawezi kumwelewa mkurugenziccm anayeipendelea CCM kienyeji kwa njia haramu za kishetani
 
Hii ni hatari sana. Kungekuwa ni kwa wenzetu angetakiwa ajiuzulu haraka sana. Hata hekima ya kuongea anakosa. Kwa hiyo NEC ni tawi la CCM. inasiitisha sana sana.
 
Pimbi wengine bhanaa!! Kwa hiyo GGM ni Wahha? Buzwagi ni Wazaramo? Bulanghulu ni Wasukuma? Sio wageni?!! Tanzanite inanunuliwa na wajuluo, sio wadhungu?
 
Kwa hizi PHD za bongo zinatia walakini sana. mwenye PHD hawezi kusema hivyo. Umejidhalilisha sana Mkurugenzi. Njoo ukaombe msamaha kwa watanzania kwamba uliteleza katika kuongea.
 
Yani mnatetea mtu anaetaka kuweka rehani ardhi yetu? Unajidai upo deep kumbe umejaza manyoya tu kichwani. Mkiona hamuwezi kuisapoti CCM bora mkae kimya kuliko kutetea uovu.
Mwambie Magufuli arudishe ardhi aliyopora ya watu wa Karagwe kwanza.
 
Bora huyu tobo Lissu akalishwe na aonywe. Tunataka sera sio matusi nakashfa.
Amevumiliwa sana mpuuzi huyu! Km vp arudishwe kwao ubelgiji.
Mijitu ya chadema km imekatwa vichwa yanataka kuuzwa yenyewe yanakenua tu.
 
Kwani hayo madini hivi sasa yanachimbwa na kuchukuliwa na nani? kama sio haohao watu wa nje (makampuni ya kigeni).

Mwenyekiti wa NEC ameanza kampeni kuisaidia CCM na kumsaidia aliyemteua. Huyo mwenyekiti asipoangalia atakuwa chanzo cha kuvuruga amani nchini.
Nyie watu ni wapuuzi sana
 
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC, amesema watanzania wanataka Afya iliyoimarika, barabara nzuri, miradi ya umeme, elimu bora hawataki blah! Blah!

Amesema watanzania hawataki viongozi watakaochukua madini yao na kwenda kuyauza kwa wageni nje, watanzania wanataka viongozi watakaotetea madini yao

Ameyasema hayo alipokuwa anazungumza kumuandikia barua Tundu Lissu ili kutoa maelezo dhidi ya tuhuma za uongo anazotuhumiwa kuzitoa

Amesema Tundu Lissu amekuwa akitangaza matusi, tuhuma na kudanganya wafanyakazi badala ya kutangaza sera


==
YALIYOZUNGUMZWA KWENYE VIDEO YA MKURUGENZI WA UCHAGUZI NEC

Kwa mamlaka ya kisheria Tume iliyonayo, tayari imemuandikia Barua Mh. Tundu Lissu ya kumuita katika Kamati ya Maadili ya Kitaifa ili aje kutoa maelezo na ushahidi wa kile alichokisema katika mkutano wake huko Musoma.

Kwa mara nyengine tena Tume inawasihi Wagombea wa Vyama vyote kufuata sheria, kanuni na taratibu za nchi ili kulinda amani ya nchi yetu, katika kipindi cha kampeni kilichobaki kwa kujali muda wa kampeni, ratiba za kampeni na kuepuka matusi, sababu unatumia muda mwingi kutangaza matusi badala ya kutangaza sera, unatumia muda mwingi kutangaza tuhuma badala ya kutangaza sera, unatumia muda mwingi kuwadanganya Watanzania na wafanyakazi badala ya kutangaza sera.

Watanzania sasa hivi wanataka Afya iliyoimarika, Watanzania sasa hivi wanataka barabara nzuri, Watanzania sasa hivi wanataka miradi ya umeme, Watanzania sasa hivi wanataka elimu bora, Watanzania hawataki bra bra. Watanzania sasa hivi wanataka viongozi ambao watalinda madini yao, sio viongozi watakaokuja kuchukua madini yao na kupeleka kwa wageni nje.
Dah BAVICHA HAMJAELEWA TU MSHINDI NI NANI MPKA SAS HAHAHAHAHA ......KUMBE LISSU KAANDIKIWA BARUA YA KUITWA HALAFU ANAJIBU YA MTANDAONII HAHAHA .....NILISEMA MIMI LISU ANATANGATANGA MITANDAONI NA KUOKOTA UCHAFU HALAFU ANALUPUKA NAO KWENYE KAMPENI
 
Back
Top Bottom