TANZIA Mkurugenzi wa uendeshaji wa EFM na TVE Dennis Ssebo Afariki Dunia

Mkurugenzi wa Uzalishaji na Biashara wa EFM & TVE Deniss Ssebo, amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya Muhimbili.

Ssebo amefariki baada ya kuugua ghafla. Taarifa zaidi zitawajia kuhusu msiba huu.

#KitengeUpdates
 
Nilianza kumfahamu marehemu tangu anafanya vipindi enzi za Channel 5 (EATV) miaka ya 2000 kabla hajaenda huko ETV&EFM

Yeye ndiyo alichangia kutengeneza kipindi cha Friday night live (FNL) kabla hajawaachia akina Sam Missago na baadaye Dullah Planet 🙌

Poleni wote mlioguswa na msiba wake

Mwenyezi Mungu aipokee roho ya marehemu na ampe pumziko la milele 🙏🙏
 
Mimi ndio nilimuona huko, na sijawahi muona tena baada ya hapo, alikuwa anaongea balaa, nilisikia kuwa ni raia wa Uganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…