Eatv alifanya, hii ni ya ITVNimetaka kujua hili pia.
Eatv alifanya, hii ni ya ITVNimetaka kujua hili pia.
Hebu acheni kututisha wazee. Hata age ya 25 uki abuse mwili wako majibu utayapata. Kwanza nasikia sasa hivi matatizo ya moyo na Figo kwa vijana ni kawaida sana.Apumzike kwa amani Mpambanaji huyu wa kitambo. Ni miongoni mwa "brains" kwenye Media power house za bongo. Japo hakuwa na umaarufu mkubwa ukilinganisha na wengine.
Nje ya mada: Ukishafika age ya 45+ lolote linaweza kutokea ghafla hapo kwenye life yako.
Ndio age moyo unafanya kazi kupita kiasi, ndio age effects za lifestyle yako ya 18-30's ndio zinaanza kujitokeza. utasikia figo zimefeli, shambulio la moyo, ini na "fast-acting cancer" n.k
Kwa bahati mbaya sana maisha yametufundisha kutafuta hela ndio kuishi, kumbe kuishi kuna mambo mengi. 😊
Ushauri: Ukipata hela, jitahidi kufanya mazoezi japo kwa wiki mara mbili. Pesa ina tabia ya kukusahaulisha kuhusu afya yako ukiwa nayo. 😊
Kama mazoezi yanasaidia. Mbona wana michezo hawana maisha marefu.Apumzike kwa amani Mpambanaji huyu wa kitambo. Ni miongoni mwa "brains" kwenye Media power house za bongo. Japo hakuwa na umaarufu mkubwa ukilinganisha na wengine.
Nje ya mada: Ukishafika age ya 45+ lolote linaweza kutokea ghafla hapo kwenye life yako.
Ndio age moyo unafanya kazi kupita kiasi, ndio age effects za lifestyle yako ya 18-30's ndio zinaanza kujitokeza. utasikia figo zimefeli, shambulio la moyo, ini na "fast-acting cancer" n.k
Kwa bahati mbaya sana maisha yametufundisha kutafuta hela ndio kuishi, kumbe kuishi kuna mambo mengi. 😊
Ushauri: Ukipata hela, jitahidi kufanya mazoezi japo kwa wiki mara mbili. Pesa ina tabia ya kukusahaulisha kuhusu afya yako ukiwa nayo. 😊
Siku hizi hata Kijana wa 25 unaweza kuwa muhanga wa hayoHebu acheni kututisha wazee. Hata age ya 25 uki abuse mwili wako majibu utayapata. Kwanza nasikia sasa hivi matatizo ya moyo na Figo kwa vijana ni kawaida sana.
Tena hao 20s-25 ndy wana u abuse mwili balaa sahvHebu acheni kututisha wazee. Hata age ya 25 uki abuse mwili wako majibu utayapata. Kwanza nasikia sasa hivi matatizo ya moyo na Figo kwa vijana ni kawaida sana.
Hebu acheni kututisha wazee. Hata age ya 25 uki abuse mwili wako majibu utayapata. Kwanza nasikia sasa hivi matatizo ya moyo na Figo kwa vijana ni kawaida sana.
Halafu mapombe mengi makali bongo ni fake, yanatengenezwa na wachina na wenye ma bar wanayauza dakika za majeruhi watu wakiwa tayari wamelewa. RIP mwamba.Siku hizi hata Kijana wa 25 unaweza kuwa muhanga wa hayo
Nafikiri suala la mazoezi liwe kipaumbele kwa wote bila kuangalia ni Kijana ama Mzee
Pia suala la unywaji wa pombe Kali ni hatari mno
Bila kusahau uzinzi pamoja na uvutaji wa shisha/sigara kupitiliza
Hakuna udhibiti kabisa wa pombe fakeHalafu mapombe mengi makali bongo ni fake, yanatengenezwa na wachina na wenye ma bar wanayauza dakika za majeruhi watu wakiwa tayari wamelewa. RIP mwamba.
do you want another rap? yes sevoo not sseboNimeona hapo kuna Kazeze Awareness...Vipi 132KVa inahusika? Nimemsikiliza dereva wake amesema jamaa pressure ilishuka chini ya 50......Inakuwaje dereva apigiwe simu na mgonjwa mwenyewe, alikuwa haishi na MKE?
Do you want another Rap? Yes Ssebo.
Poleni ,ndugu ,jamaa na marafiki.