TANZIA Mkurugenzi wa uendeshaji wa EFM na TVE Dennis Ssebo Afariki Dunia

Jamaa aliipaisha sana EATV. Ya wakati ule kwenye entertainment haikuwa na mpinzani
Alikuwa mbunifu sana enzi zake pale EATV

Enzi hizo, Sekioni David naye alikuwa sehemu ya Timu ya ushindi ya burudani pale

Wakati huo akina Joti, Mpoki, Masanja nao wakiongeza ubunifu wao kupitia Ze Comedy Show 🙌
 
Mimi ndio nilimuona huko, na sijawahi muona tena baada ya hapo, alikuwa anaongea balaa, nilisikia kuwa ni raia wa Uganda.
Jamaa alikuwa ni Raia wa Uganda, japo alikuwa Nchini tangu miaka ya 2000 akiwa mwajiriwa hapo Channel5(EATV)

Alikuwa alikuwa ni sehemu ya waanzilishi wa kipindi cha Friday night live pale EATV

Kabla baadaye kuwaachia kipindi akina Sam Missago na Dullah Planet

Kweli wakati si milele

Tufurahieni maisha kabla hatujatwaliwa 🥂

Ssebo apumzike kwa amani
 
Apumzike kwa amani Mpambanaji huyu wa kitambo. Ni miongoni mwa "brains" kwenye Media power house za bongo. Japo hakuwa na umaarufu mkubwa ukilinganisha na wengine.

Nje ya mada: Ukishafika age ya 45+ lolote linaweza kutokea ghafla hapo kwenye life yako.
Ndio age moyo unafanya kazi kupita kiasi, ndio age effects za lifestyle yako ya 18-30's ndio zinaanza kujitokeza. utasikia figo zimefeli, shambulio la moyo, ini na "fast-acting cancer" n.k
Kwa bahati mbaya sana maisha yametufundisha kutafuta hela ndio kuishi, kumbe kuishi kuna mambo mengi. 😊

Ushauri: Ukipata hela, jitahidi kufanya mazoezi japo kwa wiki mara mbili. Pesa ina tabia ya kukusahaulisha kuhusu afya yako ukiwa nayo. 😊
 
Dah we jamaa
 
Umesema sahihi Mkuu, kama ilivyo mazoezi ya kutembea kwa miguu hasa kwa sisi Wazee 🤗
 
Apumzike kwa amani Mpambanaji huyu wa kitambo. Ni miongoni mwa "brains" kwenye Media power house za bongo. Japo hakuwa na umaarufu mkubwa ukilinganisha na wengine.

Nje ya mada: Ukishafika age ya 45+ lolote linaweza kutokea ghafla hapo kwenye life yako.
Ndio age moyo unafanya kazi kupita kiasi, ndio age effects za lifestyle yako ya 18-30's ndio zinaanza kujitokeza. utasikia figo zimefeli, shambulio la moyo, ini na "fast-acting cancer" n.k
Kwa bahati mbaya sana maisha yametufundisha kutafuta hela ndio kuishi, kumbe kuishi kuna mambo mengi. 😊

Ushauri: Ukipata hela, jitahidi kufanya mazoezi japo kwa wiki mara mbili. Pesa ina tabia ya kukusahaulisha kuhusu afya yako ukiwa nayo. 😊
Sure jamaa ukimcheki unaona afya yake ilikuwa imezorota na vile mtu wa tungi basinilimuoneshha dhahiri
 
Moyo hufikia kilele cha ubora wake (nguvu ya kusukuma damu na unyumbufu wa misuli) ukiwa na umri wa kati ya miaka 20 na 25.
The Slow Decline: Baada ya miaka 30, uwezo wa juu wa moyo (Maximum Heart Rate) huanza kushuka kwa kiasi kidogo sana (takriban pigo 1 kwa kila mwaka unaozidi). Hii siyo hitilafu, ni mchakato wa asili wa kuzeeka kwa seli (Cellular Aging).

Nilikiwa nasoma juzi tu kwamba moyo wa binadamu unafika kilele cha unirá wake kwenye miaka ya 20 na 25 (nguvu ya kusukuma damu na unyumbufu wa misuli) Baada ya hapo mazongezonge yanaanza ingawa SII makubwa na hayawezi kuonekana.

.

Asante kwa dokezo lako, japo mimi hoja yangu, nilimananisha majukumu ya mtu na nature ya maisha yetu. @ 40's presha ya maisha, mitindo ya maisha mingi huathiri mwili hasa moyo.
Hata hivyo, asante kwa ufafanuzi wako.
 
images (32).jpeg
 
Apumzike kwa amani Mpambanaji huyu wa kitambo. Ni miongoni mwa "brains" kwenye Media power house za bongo. Japo hakuwa na umaarufu mkubwa ukilinganisha na wengine.

Nje ya mada: Ukishafika age ya 45+ lolote linaweza kutokea ghafla hapo kwenye life yako.
Ndio age moyo unafanya kazi kupita kiasi, ndio age effects za lifestyle yako ya 18-30's ndio zinaanza kujitokeza. utasikia figo zimefeli, shambulio la moyo, ini na "fast-acting cancer" n.k
Kwa bahati mbaya sana maisha yametufundisha kutafuta hela ndio kuishi, kumbe kuishi kuna mambo mengi. 😊

Ushauri: Ukipata hela, jitahidi kufanya mazoezi japo kwa wiki mara mbili. Pesa ina tabia ya kukusahaulisha kuhusu afya yako ukiwa nayo. 😊
Jamaa alikua mtu wa tungi kimtindo. Halafu anakunywa zile pombe kali. Miaka hiyo wakati anatangaza kile kipindi cha friday night live. Wikiend nilikua namwonaga sana tripple 7 mikocheni kule. Wakati huo mimi nilikua sekondary.

Haya mapombe makali sio ya kuyaendekeza kabisa. Nasikia hata proffesor j bado kidogo zimwondoe. Nikiingia viwanja naonaga vijana wanavyofakamia pombe za spirit na shisha. Nabaki najisemea miaka 20 ijayo haya masuala ya figo kufeli yatakua matatizo ya kawaida kabisa hapa bongo.
 
Back
Top Bottom