TANZIA Mkurugenzi wa uendeshaji wa EFM na TVE Dennis Ssebo Afariki Dunia

IMG_4928.jpeg
 
Nilianza kumfahamu marehemu tangu anafanya vipindi enzi za Channel 5 (EATV) miaka ya 2000 kabla hajaenda huko ETV&EFM

Yeye ndiyo alichangia kutengeneza kipindi cha Friday night live (FNL) kabla hajawaachia akina Sam Missago na baadaye Dullah Planet 🙌

Poleni wote mlioguswa na msiba wake

Mwenyezi Mungu aipokee roho ya marehemu na ampe pumziko la milele 🙏🙏
Hivi babu huyu hakufanya kazi ITV?
 
Jamaa aliipaisha sana EATV. Ya wakati ule kwenye entertainment haikuwa na mpinzani
 
Back
Top Bottom