Apumzike Kwa amanRip Ssebo..
+256 UgandaKwa kiswahili chake namna ya uongeaji atakuwa s raia wa Tanzania
Hivi babu huyu hakufanya kazi ITV?Nilianza kumfahamu marehemu tangu anafanya vipindi enzi za Channel 5 (EATV) miaka ya 2000 kabla hajaenda huko ETV&EFM
Yeye ndiyo alichangia kutengeneza kipindi cha Friday night live (FNL) kabla hajawaachia akina Sam Missago na baadaye Dullah Planet π
Poleni wote mlioguswa na msiba wake
Mwenyezi Mungu aipokee roho ya marehemu na ampe pumziko la milele ππ
Uganda.Kwa kiswahili chake namna ya uongeaji atakuwa s raia wa Tanzania
Nimetaka kujua hili pia.Hivi babu huyu hakufanya kazi ITV?
Vipi?! Kuna kitu?!Hiki kifo mmhπ€
Jamaa aliipaisha sana EATV. Ya wakati ule kwenye entertainment haikuwa na mpinzaniNilianza kumfahamu marehemu tangu anafanya vipindi enzi za Channel 5 (EATV) miaka ya 2000 kabla hajaenda huko ETV&EFM
Yeye ndiyo alichangia kutengeneza kipindi cha Friday night live (FNL) kabla hajawaachia akina Sam Missago na baadaye Dullah Planet π
Poleni wote mlioguswa na msiba wake
Mwenyezi Mungu aipokee roho ya marehemu na ampe pumziko la milele ππ
Hapana, yeye alikuwa upande wa EATV enzi hizo ikiitwa Channel 5Hivi babu huyu hakufanya kazi ITV?