Alikuwa mbunifu sana enzi zake pale EATVJamaa aliipaisha sana EATV. Ya wakati ule kwenye entertainment haikuwa na mpinzani
Jamaa alikuwa ni Raia wa Uganda, japo alikuwa Nchini tangu miaka ya 2000 akiwa mwajiriwa hapo Channel5(EATV)Mimi ndio nilimuona huko, na sijawahi muona tena baada ya hapo, alikuwa anaongea balaa, nilisikia kuwa ni raia wa Uganda.
Dah we jamaaApumzike kwa amani Mpambanaji huyu wa kitambo. Ni miongoni mwa "brains" kwenye Media power house za bongo. Japo hakuwa na umaarufu mkubwa ukilinganisha na wengine.
Nje ya mada: Ukishafika age ya 45+ lolote linaweza kutokea ghafla hapo kwenye life yako.
Ndio age moyo unafanya kazi kupita kiasi, ndio age effects za lifestyle yako ya 18-30's ndio zinaanza kujitokeza. utasikia figo zimefeli, shambulio la moyo, ini na "fast-acting cancer" n.k
Kwa bahati mbaya sana maisha yametufundisha kutafuta hela ndio kuishi, kumbe kuishi kuna mambo mengi. 😊
Ushauri: Ukipata hela, jitahidi kufanya mazoezi japo kwa wiki mara mbili. Pesa ina tabia ya kukusahaulisha kuhusu afya yako ukiwa nayo. 😊
Umesema sahihi Mkuu, kama ilivyo mazoezi ya kutembea kwa miguu hasa kwa sisi Wazee 🤗Apumzike kwa amani Mpambanaji huyu wa kitambo. Ni miongoni mwa "brains" kwenye Media power house za bongo. Japo hakuwa na umaarufu mkubwa ukilinganisha na wengine.
Nje ya mada: Ukishafika age ya 45+ lolote linaweza kutokea ghafla hapo kwenye life yako.
Ndio age moyo unafanya kazi kupita kiasi, ndio age effects za lifestyle yako ya 18-30's ndio zinaanza kujitokeza. utasikia figo zimefeli, shambulio la moyo, ini na "fast-acting cancer" n.k
Kwa bahati mbaya sana maisha yametufundisha kutafuta hela ndio kuishi, kumbe kuishi kuna mambo mengi. 😊
Ushauri: Ukipata hela, jitahidi kufanya mazoezi japo kwa wiki mara mbili. Pesa ina tabia ya kukusahaulisha kuhusu afya yako ukiwa nayo. 😊
Sure jamaa ukimcheki unaona afya yake ilikuwa imezorota na vile mtu wa tungi basinilimuoneshha dhahiriApumzike kwa amani Mpambanaji huyu wa kitambo. Ni miongoni mwa "brains" kwenye Media power house za bongo. Japo hakuwa na umaarufu mkubwa ukilinganisha na wengine.
Nje ya mada: Ukishafika age ya 45+ lolote linaweza kutokea ghafla hapo kwenye life yako.
Ndio age moyo unafanya kazi kupita kiasi, ndio age effects za lifestyle yako ya 18-30's ndio zinaanza kujitokeza. utasikia figo zimefeli, shambulio la moyo, ini na "fast-acting cancer" n.k
Kwa bahati mbaya sana maisha yametufundisha kutafuta hela ndio kuishi, kumbe kuishi kuna mambo mengi. 😊
Ushauri: Ukipata hela, jitahidi kufanya mazoezi japo kwa wiki mara mbili. Pesa ina tabia ya kukusahaulisha kuhusu afya yako ukiwa nayo. 😊
Sure jamaa ukimcheki unaona afya yake ilikuwa imezorota na vile mtu wa tungi basinilimuoneshha dhahiri
Alisoma udsmNi Mganda
Wakati Ule East Africa Radio "All Hits "
Ilikuwa Na Watangazaji Toka Kenya, Uganda Na Tanzania
Na Mawimbi Yao Yanafika Kenya, Uganda
Moyo hufikia kilele cha ubora wake (nguvu ya kusukuma damu na unyumbufu wa misuli) ukiwa na umri wa kati ya miaka 20 na 25.
The Slow Decline: Baada ya miaka 30, uwezo wa juu wa moyo (Maximum Heart Rate) huanza kushuka kwa kiasi kidogo sana (takriban pigo 1 kwa kila mwaka unaozidi). Hii siyo hitilafu, ni mchakato wa asili wa kuzeeka kwa seli (Cellular Aging).
Nilikiwa nasoma juzi tu kwamba moyo wa binadamu unafika kilele cha unirá wake kwenye miaka ya 20 na 25 (nguvu ya kusukuma damu na unyumbufu wa misuli) Baada ya hapo mazongezonge yanaanza ingawa SII makubwa na hayawezi kuonekana.
.
Nimeona hapo kuna Kazeze Awareness...Vipi 132KVa inahusika? Nimemsikiliza dereva wake amesema jamaa pressure ilishuka chini ya 50......Inakuwaje dereva apigiwe simu na mgonjwa mwenyewe, alikuwa haishi na MKE?
Jamaa alikua mtu wa tungi kimtindo. Halafu anakunywa zile pombe kali. Miaka hiyo wakati anatangaza kile kipindi cha friday night live. Wikiend nilikua namwonaga sana tripple 7 mikocheni kule. Wakati huo mimi nilikua sekondary.Apumzike kwa amani Mpambanaji huyu wa kitambo. Ni miongoni mwa "brains" kwenye Media power house za bongo. Japo hakuwa na umaarufu mkubwa ukilinganisha na wengine.