TANZIA Mkurugenzi wa uendeshaji wa EFM na TVE Dennis Ssebo Afariki Dunia

Hebu acheni kututisha wazee. Hata age ya 25 uki abuse mwili wako majibu utayapata. Kwanza nasikia sasa hivi matatizo ya moyo na Figo kwa vijana ni kawaida sana.
 
Kama mazoezi yanasaidia. Mbona wana michezo hawana maisha marefu.
 
Hebu acheni kututisha wazee. Hata age ya 25 uki abuse mwili wako majibu utayapata. Kwanza nasikia sasa hivi matatizo ya moyo na Figo kwa vijana ni kawaida sana.
Siku hizi hata Kijana wa 25 unaweza kuwa muhanga wa hayo

Nafikiri suala la mazoezi liwe kipaumbele kwa wote bila kuangalia ni Kijana ama Mzee

Pia suala la unywaji wa pombe Kali ni hatari mno

Bila kusahau uzinzi pamoja na uvutaji wa shisha/sigara kupitiliza
 
Halafu mapombe mengi makali bongo ni fake, yanatengenezwa na wachina na wenye ma bar wanayauza dakika za majeruhi watu wakiwa tayari wamelewa. RIP mwamba.
 
Halafu mapombe mengi makali bongo ni fake, yanatengenezwa na wachina na wenye ma bar wanayauza dakika za majeruhi watu wakiwa tayari wamelewa. RIP mwamba.
Hakuna udhibiti kabisa wa pombe fake

Ndiyo maana magonjwa yatokanayo na pombe Kali yamekuwa mengi miaka hii

Sisi miaka ya zamani, tulikunywa pombe hadi uzeeni bila kupata madhara

Miaka hii kidogo tu unaambiwa Figo mara ini 🙌
 
do you want another rap? yes sevoo not ssebo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…