GE2025 Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Lake Oil Group: Wanasiasa hawahusiki na umiliki wa vituo vyetu vya mafuta

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Bora hao waliopoteza ajira na wako hai, Samia kaua na kuacha watu yatima au bila watoto,Mali hutafutwa ila uhai ukipotea hauji tena.

Alaniwe huyu mzanzibar
 
Hakuna KAZI hapo 👆 ni vibarua TU 😂, unamsimamishaje mfanyakazi bila kumlipa mafao, marupurupu fidia,

Hizi companys za wa Asian ambazo ni political proxy's. Zina ongeza umasikini ni TU kwa wa Tanzania.

Wa Tanzania wanaofanya kazi kwenye hizi companies uchwara , wanaishi maisha magumu sana
 
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Lake Oil Group, Stephen Mtemi, ameeleza kusikitishwa kwake na kitendo cha watu kuchoma vituo vya mafuta vya kampuni hiyo, akisema mbali na hasara kubwa iliyotokea, Watanzania zaidi ya 300 waliokuwa wakifanya kazi kwenye vituo hivyo sasa wako nyumbani bila kazi.

View attachment 3499357
Amesema kampuni hiyo ina wafanyakazi takribani 8,000, huku asilimia kubwa wakiwa Watanzania. Katika vituo takribani 38 vilivyochomwa moto Tanzania nzima, Mtemi amesema vilikuwa na wafanyakazi zaidi ya 300 ambao kwa sasa wamepewa likizo bila malipo.

“Kwa habari tulizozisikia mitandaoni na mitaani, watu wengi wanahusisha Lake Oil na wanasiasa. Inaelezwa kuwa hilo ndilo lilisababisha washambuliaji kufanya vurugu na kuharibu mali kwa lengo la kuwafikia wanasiasa,” amesema.

Amefafanua kuwa kampuni ya Lake Oil ni mali ya Mtanzania mzawa anayeitwa Ally Adha Awadhi, na kwamba hana uhusiano wa aina yoyote na wanasiasa wanaotajwa, wala hawana umiliki wowote ndani ya kampuni hiyo.

Amesema si haki kwa wananchi kuharibu mali ya Lake Oil kwa kudhani inamilikiwa na wanasiasa, kwani hatua hiyo inaathiri maisha ya wafanyakazi pamoja na mmiliki wa kampuni.

Hata hivyo, Mtemi ametoa pole kwa wananchi wote walioathirika kwa namna moja au nyingine na vurugu zilizoibuka kufuatia uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025.

Source: TBC Digital
Hii kampuni ya Ridhiwani Kikwete utaikanaje ionekane sio yake ndugu mkurugenzi? Mungu anakuona na atakuhukumu sawasawa na uwongo wako.
 
Kikwete anaukwaa urasis wa TZ 2005 lake oil inaanzishwa 2006 na kijana wa miaka 27 Ally Edha Awadh.
Hii ni sawa na kutuaminisha kuwa kampuni ya mabasi ya Esta sio ya Mwigulu Nchemba. Sijui hawa watu huwa wanatuonaje na kutuchukuliaje? Hivi wanafikiri watanzania ni misukule? Mungu anawaona.
 
Kwani nani hajui kama hizi conglomerates nyingi hapa bongo zinaendeshwa na vivuli ila wamiliki ni mafisadi wa serikalini? Wapo wanaojulikana na wengine hawajulikani😁

Ukweli ni kwamba vikaragosi ndio wametangulizwa mbele na ndio wanafanya appearances on behalf.
Mtu mpaka anafanya massacre ili abaki ikulu jaribu kufikiria ana acccess ya madili ya kiwango gani, halafu ukiangalia documents za mali zao utaambiwa ana nyumba moja na shamba tu. Hawa watu wanatuona sisi wajinga.
 
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Lake Oil Group, Stephen Mtemi, ameeleza kusikitishwa kwake na kitendo cha watu kuchoma vituo vya mafuta vya kampuni hiyo, akisema mbali na hasara kubwa iliyotokea, Watanzania zaidi ya 300 waliokuwa wakifanya kazi kwenye vituo hivyo sasa wako nyumbani bila kazi.

Amesema kampuni hiyo ina wafanyakazi takribani 8,000, huku asilimia kubwa wakiwa Watanzania. Katika vituo takribani 38 vilivyochomwa moto Tanzania nzima, Mtemi amesema vilikuwa na wafanyakazi zaidi ya 300 ambao kwa sasa wamepewa likizo bila malipo.

“Kwa habari tulizozisikia mitandaoni na mitaani, watu wengi wanahusisha Lake Oil na wanasiasa. Inaelezwa kuwa hilo ndilo lilisababisha washambuliaji kufanya vurugu na kuharibu mali kwa lengo la kuwafikia wanasiasa,” amesema.

Amefafanua kuwa kampuni ya Lake Oil ni mali ya Mtanzania mzawa anayeitwa Ally Adha Awadhi, na kwamba hana uhusiano wa aina yoyote na wanasiasa wanaotajwa, wala hawana umiliki wowote ndani ya kampuni hiyo.

Amesema si haki kwa wananchi kuharibu mali ya Lake Oil kwa kudhani inamilikiwa na wanasiasa, kwani hatua hiyo inaathiri maisha ya wafanyakazi pamoja na mmiliki wa kampuni.

Hata hivyo, Mtemi ametoa pole kwa wananchi wote walioathirika kwa namna moja au nyingine na vurugu zilizoibuka kufuatia uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025.

Source: TBC Digital
Lazima ukane tu, we, know the truth, bloody fucking
 
Ni bora tu angekaa kimya. Sasa ndipo ameitangaza vizuri hata kwa wale ambao walikuwa hawajui. Asubiri Desemba 9 vituo vyote vilivyobaki vitachomwa moto.
 
Hii ni sawa na kutuaminisha kuwa kampuni ya mabasi ya Esta sio ya Mwigulu Nchemba. Sijui hawa watu huwa wanatuonaje na kutuchukuliaje? Hivi wanafikiri watanzania ni misukule? Mungu anawaona.
Yani hawa viongozi wetu washamba sana.

Hilo limwigulu fisadi kweli.

Wakati wa Magu alikuwa anamiliki timu ambayo kwa sasa yeye eti ndo mlezi.

Alivyotumbuliwa tu na Magu timu ikajifia alivyorudishwa na fisadi Samia na timu imerudi.
 
Angekanusha mapema,hizi tetesi zimekuwepo miaka mingi na GSM pia utajiri una walakini Matajiri waepuke kujihusisha na siasa
 
Back
Top Bottom