TANZIA Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege Kilimanjaro, Mhandisi Christopher Mukoma afariki dunia

TANZIA Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege Kilimanjaro, Mhandisi Christopher Mukoma afariki dunia

Makaazi yake rasmi ni Jijini Arusha.Wafanyakazi wa KADCO muda huu ni vilio,kuzimia hovyo,kutapika yaani ni shida juu ya shida.

Tangu arejee kutoka Dodoma kama siku nne au tano zilizopita hakuwa katika hali nzuri mafua na kikohozi vilimwandama sana.Fikiria kuanzia secretary,Wakurugenzi wenzake finance technical ... Wahasibu,maafisa ugavi security ........ Wote kwa nyakati tofauti tofauti walikaribiana na Mkuu [emoji40].
Unataka kusema nini kiongozi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado dereva wake na familia yake pale home.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli anatupeleka wapi jamani ?Kwa akili ya kawaida tu huyu Magufuli hatufai. Jamani October 2020 tusikubali. Kura ziwe against Magufuli no matter what. CCM mcheze karata yenu pale akijivua urais na uenyekiti na mchague mwenyekiti mwingine. It is possible bwana. R.I.P marehemu.
tufike sasa hiyo October, nimeshaacha kuwa na long term plans hali ni mbaya sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu KIA Eng Mukoma kafariki leo asubuhi.

Eng Mukoma alitotokea Dodoma kwa I majukumu alisumbuliwa na homa ,kikohozi na mafuta ya hapa na pale

RIP Eng uliupaisha uwanja wa ndege KIA uongozi wako utakumbukwa na kuenziwa
WAchina walimpa zawadi ya COVID-19?
 
Back
Top Bottom