TANZIA Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege Kilimanjaro, Mhandisi Christopher Mukoma afariki dunia

TANZIA Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege Kilimanjaro, Mhandisi Christopher Mukoma afariki dunia

Wakuu aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu KIA Eng Mukoma kafariki leo asubuhi.

Eng Mukoma alitotokea Dodoma kwa I majukumu alisumbuliwa na homa ,kikohozi na mafuta ya hapa na pale

RIP Eng uliupaisha uwanja wa ndege KIA uongozi wako utakumbukwa na kuenziwa
Kwanini mnaficha vifo vya korona, imekuwa siasa sasa.
 
Magufuli anatupeleka wapi jamani ?Kwa akili ya kawaida tu huyu Magufuli hatufai. Jamani October 2020 tusikubali. Kura ziwe against Magufuli no matter what. CCM mcheze karata yenu pale akijivua urais na uenyekiti na mchague mwenyekiti mwingine. It is possible bwana. R.I.P marehemu.
 
Poleni
IMG-20200508-WA0003.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisema,baada ya hotuba ya mwisho ya Rais tutaambukizana sana!Kwanza hakuna anayekubali kwenda kupimwa akiona dalili za Covid maana anajua majibu si ya uhakika kulingana na JPM alivyosema!

Nasilitika sana kuona mtu anacheza na maisha yetu hivi hivi!
 
Magufuli anatupeleka wapi jamani ?Kwa akili ya kawaida tu huyu Magufuli hatufai. Jamani October 2020 tusikubali. Kura ziwe against Magufuli no matter what. CCM mcheze karata yenu pale akijivua urais na uenyekiti na mchague mwenyekiti mwingine. It is possible bwana. R.I.P marehemu.
We mjinga nn corona imeletwa na Magu....
mtangoja sana na mtakufa kwa husuda aliyepewa kapewa....
 
Back
Top Bottom