TANZIA Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege Kilimanjaro, Mhandisi Christopher Mukoma afariki dunia

TANZIA Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege Kilimanjaro, Mhandisi Christopher Mukoma afariki dunia

nafikiri comments zangu nilizoandika kwamba walioruhusu ndege kuingiza wageni kutoka maeneo hatarishi inaeleweka sasa

😎 😎 😎 😷 😷 😷
 
Wakuu aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu KIA Eng Mukoma kafariki leo asubuhi.

Eng Mukoma alitotokea Dodoma kwa I majukumu alisumbuliwa na homa ,kikohozi na mafuta ya hapa na pale

RIP Eng uliupaisha uwanja wa ndege KIA uongozi wako utakumbukwa na kuenziwa
Tuache sifa za kijinga jamani..
 
Magufuli anatupeleka wapi jamani ?Kwa akili ya kawaida tu huyu Magufuli hatufai. Jamani October 2020 tusikubali. Kura ziwe against Magufuli no matter what. CCM mcheze karata yenu pale akijivua urais na uenyekiti na mchague mwenyekiti mwingine. It is possible bwana. R.I.P marehemu.
Magufuli ana dawa ila kaficha si ndio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makaazi yake rasmi ni Jijini Arusha.Wafanyakazi wa KADCO muda huu ni vilio,kuzimia hovyo,kutapika yaani ni shida juu ya shida.

Tangu arejee kutoka Dodoma kama siku nne au tano zilizopita hakuwa katika hali nzuri mafua na kikohozi vilimwandama sana.Fikiria kuanzia secretary,Wakurugenzi wenzake finance technical ... Wahasibu,maafisa ugavi security ........ Wote kwa nyakati tofauti tofauti walikaribiana na Mkuu [emoji40].
its hectic! Apumzike kwa Amani
 
Nilisema,baada ya hotuba ya mwisho ya Rais tutaambukizana sana!Kwanza hakuna anayekubali kwenda kupimwa akiona dalili za Covid maana anajua majibu si ya uhakika kulingana na JPM alivyosema!

Nasilitika sana kuona mtu anacheza na maisha yetu hivi hivi!
Total confusion
 
Kaimu Mkurugenzi wa kampuni inayoshughulikia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KADCO) Mhandisi Christopher Ande Mukoma amefariki dunia mapema asubuhi ya leo.

Taarifa kutoka kwa Uongozi wa uwanja wa ndege wa KIA zimeeleza Mhandisi Mukoma amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa shinikizo la damu akiwa nyumbani kwake mkoani Arusha.

RIP Eng uliupaisha uwanja wa ndege KIA uongozi wako utakumbukwa na kuenziwa

rip
 
DODOMA ni mahali hatari sana kwa sasa, bora hata DAR.
Wale wadada utamu wa usiku bado wapo Dodoma? Kila mara bunge likiwa in session huwa wanaongezeka hebu niangalizieni kama bado wapo ili kesho nikienda Mwanza nilale hapo. Je zile bar pendwa zipo?
 
Back
Top Bottom