We mjinga nn corona imeletwa na Magu....
mtangoja sana na mtakufa kwa husuda aliyepewa kapewa....
Pum.bav sijakuita hapa....
Unataka kusema nini kiongozi?Makaazi yake rasmi ni Jijini Arusha.Wafanyakazi wa KADCO muda huu ni vilio,kuzimia hovyo,kutapika yaani ni shida juu ya shida.
Tangu arejee kutoka Dodoma kama siku nne au tano zilizopita hakuwa katika hali nzuri mafua na kikohozi vilimwandama sana.Fikiria kuanzia secretary,Wakurugenzi wenzake finance technical ... Wahasibu,maafisa ugavi security ........ Wote kwa nyakati tofauti tofauti walikaribiana na Mkuu [emoji40].
Huyu ndio alikuwa aanawaruhusu wachina anasema ni ndugu zetu
Muulie THe biss anafanya kazi eapoti
Ndio
Unataka kusema nini kiongozi?
Sent using Jamii Forums mobile app
[/
Nataka ku kuambiwa ukweli hali si hali. Hili gonjwa limeshaingia hadi chumbani
Bado dereva wake na familia yake pale home.Makaazi yake rasmi ni Jijini Arusha.Wafanyakazi wa KADCO muda huu ni vilio,kuzimia hovyo,kutapika yaani ni shida juu ya shida.
Tangu arejee kutoka Dodoma kama siku nne au tano zilizopita hakuwa katika hali nzuri mafua na kikohozi vilimwandama sana.Fikiria kuanzia secretary,Wakurugenzi wenzake finance technical ... Wahasibu,maafisa ugavi security ........ Wote kwa nyakati tofauti tofauti walikaribiana na Mkuu [emoji40].
msisitizo wa kinyalu au sioDodoma inaipiku Dsm kwa kasi........Watige Pandemiki Senta!
alisumbuliwa na tatizo la upumuaji na vichomi vikali.Alisumbuliwa na mafuta gani?
tufike sasa hiyo October, nimeshaacha kuwa na long term plans hali ni mbaya sana.Magufuli anatupeleka wapi jamani ?Kwa akili ya kawaida tu huyu Magufuli hatufai. Jamani October 2020 tusikubali. Kura ziwe against Magufuli no matter what. CCM mcheze karata yenu pale akijivua urais na uenyekiti na mchague mwenyekiti mwingine. It is possible bwana. R.I.P marehemu.
Group lenu lina watu wangai??Ni kweli haswaaa,katika group letu la WhatsApp kila siku ni tanzia watu kuanzia wakati hadi sita kwa siku.
WAchina walimpa zawadi ya COVID-19?Wakuu aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu KIA Eng Mukoma kafariki leo asubuhi.
Eng Mukoma alitotokea Dodoma kwa I majukumu alisumbuliwa na homa ,kikohozi na mafuta ya hapa na pale
RIP Eng uliupaisha uwanja wa ndege KIA uongozi wako utakumbukwa na kuenziwa
Kumbe we ni daktari? Jifungie na wwNdg zako waoga sn wakijigungia ss madaktari tufanyeje ss wapumbavu sana hawa chadema wakaongoze maiti si binadamu tena
Aliiua na cheo gn ?Point of correction, huyu hakuwa na cheo cha inspector