LGE2024 Mkurugenzi wa Wilaya ya Serengeti, Dkt. Maulid Madeni: Wagombea wa CHADEMA walioenguliwa hawakujiandikisha kupiga kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Tena ya kizamani sana.marehemu waliandikishwa musoma na kwa tume hawakuona Kama ni shida
Wagombea wanasemaje kuhusu kutojiandikisha? Je ni kweli?
Utosikia kuojiwa kamwe. Na hakuna mgombea asiyejiandikisha mbinu za kufilisika kifikra ndiyo wanazotumia tumeccm
 
Kwani kwenye kanuni kuna kipengele kinacho sema ili uwanie nafasi ya uongozi ni lazima uwe ume jiandikisha kupiga kura?
Huwa najiuliza kwanini Ccm wana itisha uchaguzi wakati hawako tayari kushindana. Huu ni uhujumu uchumi.
Fear of unknown.
 
Ingawa sio kigezo cha kuenguliwa lakini itakuwa vyema tukijua kwa nini mtu aliyekusudia kugombea hakujiandikisha? Michezo michafu ilianzia kwenye kujiandikisha hadi kwenye kupokelewa kwa fomu.

Amandla...
 
Ametaja ni sheria namba ngapi inayolazimisha mgombea kujiandikisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…