LGE2024 Mkurugenzi wa Wilaya ya Serengeti, Dkt. Maulid Madeni: Wagombea wa CHADEMA walioenguliwa hawakujiandikisha kupiga kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kweli kabisa au kama kipindi kile watu awajuii kusaini au kuandika majina
 
nikama Lissu makamu mwenyekiti na mwanasheria wa chama hajajiandikisha sembuse wanachama wa huko uswekeni, nilishasema hawa jamaa wapuuzi mno
 
Huyu DED angebaki kimya aache kuchefua watu kwa kuonhea utumbo, kwani hizo fomu ni mtihani wa mchujo au ni kwa ajili ya kupata particulars za mgombea!

Hao ccm walisomea shule IPI hadi nchi nzima 100% hakuna aliye enguliwa!?

Hao chadema au vyama vya upinzani walishindwa kusomea wapi ambako ccm walisomea ujazaji wa fomu za kugombea!?

Busara ilikua DED abaki kimya yeye kama MTU msomi wa ngazi ya PhD maana naona anaitwa Dr alipaswa abaki na masikitiko kwa kushiriki katika udhalimu kwa njia za kihuni na za kitoto. Kwanza kama msimamizi wa uchaguzi alitakiwa awaelekeze wasimamizi chini yake wawasaidie wagombea kujaza vizuri fomu zao, hao watendaji wa vijiji kazi yao sio kusahihisha mitihani ,fomu sio mitihani ya kidato cha NNE hiyo, ni fomu kuonyesha utambulisho wa mgombea basi.

Ccm na serikali yenu MNA laana ninyi, halafu watu wana leta mapingizi Ofisi za umma mmefunga mko kunywa pombe inasikitisha zana
 
Chadema wanatoa taarifa za kuchanganya mno kuhusu ushiriki wao kwenye uchaguzi. Mara waseme wanasusia, mara wanasema wanashiri; hivi kwa nini wasiwe na na kauli moja iliyo straight forward? Inawezekana wanawachanga watu wao.
 
Wakati sehemu zingine kuna majina ya marehemu au wanainchi ambao hawapo kabisa eneo husika.
 
Wakati sehemu zingine kuna majina ya marehemu au wanainchi ambao hawapo kabisa eneo husika.
 
Njaa mbaya. Huyu alikuwa mkurugenzi wa maendeleo wa mkoa wa Arusha akatifuana na Mrisho Gumbo akatemwa. Kumbe amekubali kuwa mkurugenzi wa wilaya. Kama angekuwa daktari wa kweli, angeachana na demotion hii. Hata hivyo simshangai kwa vile ni chawa kama Makonda na wengine wanamuabudu Mungu mama.
 
Chadema wanatoa taarifa za kuchanganya mno kuhusu ushiriki wao kwenye uchaguzi. Mara waseme wanasusia, mara wanasema wanashiri; hivi kwa nini wasiwe na na kauli moja iliyo straight forward? Inawezekana wanawachanga watu wao.
Utakuwa hovyo kichwani mwako!
 
Soma la ujazaji wa fomu za kugombea linafundishwa chuo Gani.
Mbona CCM wao, wanafaulu 100%
 
Refa wao, mpira wao, uwanja wao...
Ni mtu mpumbavu pekee anae weza ingiza timu uwanjani.
 
Mkuu, wasimamizi, kwa maana ya kusimamia uchaguzi, wengi wao wahajui maana na wajibu wao katika shughuli hiyo. Wasimamizi, pamoja na shughuli zingine wanapaswa kuwa elimisha wagombea kujua na kufuata taratibu za kushiriki kugombea nafasi kwenye chaguzi husika kwa mujibu wa taratibu. Ni jukumu la Msimamizi kumsaidia mshiriki wa uchaguzi kurekebisha mapungufu madogomadogo ambayo haya athiri utaratibu wa uchaguzi husika na hivyo kupelekea mshiriki kuto shiriki uchaguzi.
Tafiti zinaonyesha kuwa wengi wa wagombea walio ondolewa kwenye kinyang'anyiro ni wale wanao kubalika kwenye eneo husika;
 
Pul
Pumbavuuu! Maelezo meeengi huku yanaona aibu hata kuangalia watu! Shenzi type kabisa!
 
Pumbavuuu! Maelezo meeengi huku yanaona aibu hata kuangalia watu! Shenzi type kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…