Ally ayubu
Senior Member
- Jan 6, 2024
- 188
- 104
Kweli kabisa au kama kipindi kile watu awajuii kusaini au kuandika majina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nikama Lissu makamu mwenyekiti na mwanasheria wa chama hajajiandikisha sembuse wanachama wa huko uswekeni, nilishasema hawa jamaa wapuuzi mnoYaani mtu apange kugombea bila kujiandikisha Ina make sense kweli.
Kuwaengua wagombea ni mbinu za kizamani, kikoloni ,kishamba,
Sasa kama mnataka watu wote wa CcM wake viongozi uchaguzi mnaitaga wa nini. Mna akili kweli nyie.
Mambo ya kipumbavu
Nchi Ina Vituko hii!!!
Kuhusu vita hilo halipo nchi hiiCCM watakuja kusababisha vita kipumbavu
Huyu DED angebaki kimya aache kuchefua watu kwa kuonhea utumbo, kwani hizo fomu ni mtihani wa mchujo au ni kwa ajili ya kupata particulars za mgombea!Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na mambo ya nje hapo jana, kudai kuwa baadhi ya wagombea wa Chama hicho kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wameenguliwa bila sababu za Msingi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi huo.
Moja ya eneo ambalo Chadema walidai wagombea wao kuenguliwa bila ya sababu za Msingi, ni Wilaya ya Serengeti Mkoani Mara na baadhi ya Wilaya za Mkoa wa Simiyu.
Mkurugenzi wa Wilaya ya Serengeti Dkt. Maulid Seleiman Madeni Leo amejitokeza mbele ya waandishi wa Habari na kutolea ufafanunuzi Masai ya Chadema.
Moja ya sababu ambayo Mkurugenzi huyo ametaja, ni baadhi ya wagombea wa Chama hicho ambao walienguliwa walishindwa kukidhi vigezo ikiwemo kutojiandikisha katika Daftari la mkazi la wapiga kura.
" Moja ya sababu ya baadhi ya wagombea wa Chadema kuenguliwa, ni kwamba hawakujiandikisha kwenye Daftari la mkazi la wapiga kura, Chadema lazima wajue sababu za kwa nini watu wao wameenguliwa, wanatakiwa kuwa wanawafundisha kabla ya kuchukua fomu ili wasiharibu"
View attachment 3147968
Chadema wanatoa taarifa za kuchanganya mno kuhusu ushiriki wao kwenye uchaguzi. Mara waseme wanasusia, mara wanasema wanashiri; hivi kwa nini wasiwe na na kauli moja iliyo straight forward? Inawezekana wanawachanga watu wao." Moja ya sababu ya baadhi ya wagombea wa Chadema kuenguliwa, ni kwamba hawakujiandikisha kwenye Daftari la mkazi la wapiga kura, Chadema lazima wajue sababu za kwa nini watu wao wameenguliwa, wanatakiwa kuwa wanawafundisha kabla ya kuchukua fomu ili wasiharibu"
Hiyo sheria haipo! Huyu Mkurugenzi ni mhuni alikuwa Arusha anajulikana ni Mpuuzi sana!Hivi kwenye kanuni za uchaguzi Kuna ulazima wa mgombea kujiandokisha? Yaani lazima awe amejiandikisha kupiga kura?
Utakuwa hovyo kichwani mwako!Chadema wanatoa taarifa za kuchanganya mno kuhusu ushiriki wao kwenye uchaguzi. Mara waseme wanasusia, mara wanasema wanashiri; hivi kwa nini wasiwe na na kauli moja iliyo straight forward? Inawezekana wanawachanga watu wao.
Mkuu, wasimamizi, kwa maana ya kusimamia uchaguzi, wengi wao wahajui maana na wajibu wao katika shughuli hiyo. Wasimamizi, pamoja na shughuli zingine wanapaswa kuwa elimisha wagombea kujua na kufuata taratibu za kushiriki kugombea nafasi kwenye chaguzi husika kwa mujibu wa taratibu. Ni jukumu la Msimamizi kumsaidia mshiriki wa uchaguzi kurekebisha mapungufu madogomadogo ambayo haya athiri utaratibu wa uchaguzi husika na hivyo kupelekea mshiriki kuto shiriki uchaguzi.Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na mambo ya nje hapo jana, kudai kuwa baadhi ya wagombea wa Chama hicho kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wameenguliwa bila sababu za Msingi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi huo.
Moja ya eneo ambalo Chadema walidai wagombea wao kuenguliwa bila ya sababu za Msingi, ni Wilaya ya Serengeti Mkoani Mara na baadhi ya Wilaya za Mkoa wa Simiyu.
Mkurugenzi wa Wilaya ya Serengeti Dkt. Maulid Seleiman Madeni Leo amejitokeza mbele ya waandishi wa Habari na kutolea ufafanunuzi Masai ya Chadema.
Moja ya sababu ambayo Mkurugenzi huyo ametaja, ni baadhi ya wagombea wa Chama hicho ambao walienguliwa walishindwa kukidhi vigezo ikiwemo kutojiandikisha katika Daftari la mkazi la wapiga kura.
" Moja ya sababu ya baadhi ya wagombea wa Chadema kuenguliwa, ni kwamba hawakujiandikisha kwenye Daftari la mkazi la wapiga kura, Chadema lazima wajue sababu za kwa nini watu wao wameenguliwa, wanatakiwa kuwa wanawafundisha kabla ya kuchukua fomu ili wasiharibu"
View attachment 3147968
Pumbavuuu! Maelezo meeengi huku yanaona aibu hata kuangalia watu! Shenzi type kabisa!Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na mambo ya nje hapo jana, kudai kuwa baadhi ya wagombea wa Chama hicho kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wameenguliwa bila sababu za Msingi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi huo.

Mkuu, MaDED ni wale wa miaka ya 2000>1960 huko, hawa wa sasa ni machawa tu.DED mjinga sn anachezea amani ya nchi kipumbavu haswa
Walete vitabu vya vituo ambavyo walioenguliwa ni wakaazi.
Mkuu, matusi ya nini hapa JF, mbona yule OG Mwenyewe hakuwa hivyo?Mpumhavu mamako angevaa condom lisizaliwe zombie km ww