LGE2024 Mkurugenzi wa Wilaya ya Serengeti, Dkt. Maulid Madeni: Wagombea wa CHADEMA walioenguliwa hawakujiandikisha kupiga kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
CCM watakuja kusababisha vita kipumbavu
Mahakama zetu ndii zita sababisha machafuko kwenye hii nchi.
Maana wako kuandikiwa hukumu na Ccm.
Imagine ile kesi ya makamu wa Rais Kenya inge kuwa ni hizi mahakama zetu tawi la ccm sijui hukumu inge kaa miaka mingapi bila kutolewa. Reder covid 19
 
Mahakama zetu ndii zita sababisha machafuko kwenye hii nchi.
Maana wako kuandikiwa hukumu na Ccm.
Imagine ile kesi ya makamu wa Rais Kenya inge kuwa ni hizi mahakama zetu tawi la ccm sijui hukumu inge kaa miaka mingapi bila kutolewa. Reder covid 19
CCM hatuna mahakama tuna mashina ya CCM
 
Unaona sasa Chadema ni bure kabisa! Wanalalamika tu kumbe hata kujiandikisha hawakujiandikisha kama ambavyo Lissu hakujiandikisha.
 
Kwani kwenye kanuni kuna kipengele kinacho sema ili uwanie nafasi ya uongozi ni lazima uwe ume jiandikisha kupiga kura?
Huwa najiuliza kwanini Ccm wana itisha uchaguzi wakati hawako tayari kushindana. Huu ni uhujumu uchumi.
KKuna mwingine kaenguliwa sababu ni hakujaza kuwa anajua kiswahili. Alijaza anajua kiingereza cha kusoma na kuandika. Kumbe na fomu zenyewe ni za Kiswahili.
 
Ukiwa ccm lazima uache ubongo nje, ubaki bichwa box..
Kwani sheria inasema lazima mgombea awe kajiandikisha kwenye daftari la mpiga kura?
 
Wanaoenguliwa cdm tu hivi hamna mgombea wa ccm anaekosea kujaza form?
 
Daftari lenyewe conterbook la fom two kama kachana page? Nani anajua? Mshtaki yeye, mwendesha mashtaka yeye na hakimu yeye! 3rd party gani kathibitisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…