Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Watu wakichoka huwezi kuwazuiaKuhusu vita hilo halipo nchi hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wakichoka huwezi kuwazuiaKuhusu vita hilo halipo nchi hii
Hawa ni UVCCM na siyo DEDsMkuu, MaDED ni wale wa miaka ya 2000>1960 huko, hawa wa sasa ni machawa tu.
Mahakama zetu ndii zita sababisha machafuko kwenye hii nchi.CCM watakuja kusababisha vita kipumbavu
CCM hatuna mahakama tuna mashina ya CCMMahakama zetu ndii zita sababisha machafuko kwenye hii nchi.
Maana wako kuandikiwa hukumu na Ccm.
Imagine ile kesi ya makamu wa Rais Kenya inge kuwa ni hizi mahakama zetu tawi la ccm sijui hukumu inge kaa miaka mingapi bila kutolewa. Reder covid 19
Unaona sasa Chadema ni bure kabisa! Wanalalamika tu kumbe hata kujiandikisha hawakujiandikisha kama ambavyo Lissu hakujiandikisha.Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na mambo ya nje hapo jana, kudai kuwa baadhi ya wagombea wa Chama hicho kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wameenguliwa bila sababu za Msingi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi huo.
Moja ya eneo ambalo Chadema walidai wagombea wao kuenguliwa bila ya sababu za Msingi, ni Wilaya ya Serengeti Mkoani Mara na baadhi ya Wilaya za Mkoa wa Simiyu.
Mkurugenzi wa Wilaya ya Serengeti Dkt. Maulid Seleiman Madeni Leo amejitokeza mbele ya waandishi wa Habari na kutolea ufafanunuzi Masai ya Chadema.
Moja ya sababu ambayo Mkurugenzi huyo ametaja, ni baadhi ya wagombea wa Chama hicho ambao walienguliwa walishindwa kukidhi vigezo ikiwemo kutojiandikisha katika Daftari la mkazi la wapiga kura.
" Moja ya sababu ya baadhi ya wagombea wa Chadema kuenguliwa, ni kwamba hawakujiandikisha kwenye Daftari la mkazi la wapiga kura, Chadema lazima wajue sababu za kwa nini watu wao wameenguliwa, wanatakiwa kuwa wanawafundisha kabla ya kuchukua fomu ili wasiharibu"
View attachment 3147968
Utapigana wewe nyumbu sasa kama hata kujiandikisha hamjiandikishi unategemea nini sasa.CCM watakuja kusababisha vita kipumbavu
UWT tulieni dawa iingieUtapigana wewe nyumbu sasa kama hata kujiandikisha hamjiandikishi unategemea nini sasa.
KKuna mwingine kaenguliwa sababu ni hakujaza kuwa anajua kiswahili. Alijaza anajua kiingereza cha kusoma na kuandika. Kumbe na fomu zenyewe ni za Kiswahili.Kwani kwenye kanuni kuna kipengele kinacho sema ili uwanie nafasi ya uongozi ni lazima uwe ume jiandikisha kupiga kura?
Huwa najiuliza kwanini Ccm wana itisha uchaguzi wakati hawako tayari kushindana. Huu ni uhujumu uchumi.
Inashangaza sana hawa viongozi wanafikiria kwa masabuli.Sifa ya mgombea inasemaje?
hawana sifa hao, waondolewe mara moja![]()
hawana sifa hao, waondolewe mara moja![]()