Pre GE2025 Mkutano Maalum wa Baraza la vyama vya siasa na wadau wa Demokrasia, January 4, 2024

Pre GE2025 Mkutano Maalum wa Baraza la vyama vya siasa na wadau wa Demokrasia, January 4, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Doyo: Mimi katika mada iliyowasilishwa naanza kwa ushauri. Nia ya rais isisitizwe katika viongozi wa chini. Ili tunufaike kama nchi. Nchi isiyo na maridhiano hamuwezi kuendelea.
Itakiwa itengenezwe program maalum ili watumishi wa serikali waijue wote. Anaeleza tukio la Police.
Hizi 4R zifundishwe ili watu wazijue ili tuweze kupata wawekezaji.

La pili Rais anania njema sana. Hata alipokuja kuhutubia mkutano uliopita. Amesisitiza kuwa serkali yake inaweza kusikiliza na kuvumilia
 
Mwalimu: Nadhani kwa kiwango gani 4R zinaisaidia au zitaweza kuisaidia tanzania kuenda sambamba na maendeleo ya dira ya dunia na Africa.

Maeneo yote haya mawili Dunia na Afrika inaleka katika maendeleo ya watu. pia maendelo ya nchi.
Kama taifa tunataka kwenda sambamba na dunia na tunataka kwenda sambamba na Africa.

Tunatakiwa kujua Pillars zipi wenzetu wanazitumia. Kama unataka kufika huko na kuna kuwa joto kubwa nchini huwezi kuendelea. Na huna namna uje na 4R ili muweze kuelekewa kwenye reforms.

Jambo la pili, kama mnazungumzia kupata yale dunia inayoyapaya. Ni lazima kuwe na reforms siyo kwenye siasa pekee. Bali kwenye mambo ja kijamii, mifumo na kisiasa.
Ili tuweze kwenye nda huko wezentu na dunia iweze kutupima, lazima kuwe na reforms na kuvumilia kwa hoja.

Ili tuweze kutengeneza nchi yetu tuondokane na joto la ndani lazima tuje na 4R
 
Ado: Mimi ninaungana na wenzangu kwamba falsafa ya 4R lazima itazamwe kwa muktadha mpana zaidi. Kama inaweza ikaijenga nchi yetu kama itatekelezwa kwa ukamilifu katika vipengele hivyo vinne. Na tutaendenda sambamba na dira zadunia.

Mambo ya kuzingatia, ninamuono tofauti ya Wasira ni kweli lazima tuanze kwaajili ya kuridhiana lakini nguzo mama ni reforms.

Lazima hii nguzo mama ya reforms lazima iende sambamba na mabadiliko ya katiba na sehria.
Mchakato wa katiba lazima uanze sasa.
Nguzo ya reforms ni katiba mpya na kuweka msing wa sheria nzuri.
Hatuna kalenda maalum ya kutekeleza mapendekezo yaliyoweka. Ripoti ya kikosi kazi ilitoa maelezo mazuri. Tunahitaji roadmap.

Tunataka reconciliation ya kitaifa. Yako mambo ukiyatazama yalishapata mwafaka wa kitaifa. Mambo hayo yaiswe na majadiliano marefu. Utelekezaji. Mfano ruzuku nk.
 
Mwongoza mada: Wazungumzaji wote wamelenga katika suala la tushindane vizuri katika dira ya dunia na Africa
 
Tuangalie Mheshimiwa rais anazungumza nini hapa ndani. Rais anazungmza katika 4R anatumia kama nyenzo ya kujenga demokrasia, vyombo vya kisiasa na kisheria yaweze kukidhi mahitaji ya sasa na baade. Hata kama wengine watapinga.
 
Ado: Wanasiasa wa vyama vyote tunaelewa falsafa ya 4R. Baada ya kumsikiliza kwa umakini sana rais. Tuliamua kwenda kwenye maridhiano. Kitendo cha vyama vya siasa kwenda kwenye meza ya maridhiano maana yake tumeelewa falsafa ya 4R. Na hata kuwepo kwetu hapa ni kwamba tumeelewa.

Jambo kubwa ni hitimisho. Mheshimiwa rais tumemuelewa lakini. Sasa ule utashi ambao aliouonesha lazima ujenge msingi wa kisheria
 
Mwalimu: Hili lilitakiwa liishie kwetu, Kwenda kulimalizia kwa Wasira kunajambo hapa.
Wananchi hawahitaji kuelewa 4R wao wanataka kuona matokeo. Lakini kitu kikubwa kikubwa tunachotaka ni matokeo ya 4R siyo kuhubiri tu.

Yapo mambo mambo, matokeo katika masuala ya kiuchumi, vijana wanataka matokeo waweze kuona. Umasikini wetu wa kipato unaisha. Hata katika demokrasia unafanya nchi yetu iwe rafiki. Na kwamba hakutakuwa na kutoka upendeleo sehemu yoyote. Tupate matokeo.

Nguzo mpya lazima tujua. Ni katiba mpya na katiba mpya ni sasa. Watu wasipoona matokeo wataanza kuzikatia tamaa.
Nilazima sisi kumsaidia aliyetoa dhamira. Nilazima tuwe na matokeo yanayotarajiwa na wengi
 
Doyo: Mimi naomba niwaambie wajumbe na wanajopo wenzangu. Kama unadai mkono na ukarudishiwa kidole unashukuru. Hata mkutano huu ni matokeo ya 4R.

La pili watanzania hawa wanaelewa sana 4R za rais. Kabla ya 4R kulikuwa na mahabusu kesi zao hazisomwi. Kuna mahabusu wa kisiasa kwa sasa wapo nje. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Mwaka 2012 jambo hili lilipotea kwa mazingira ya kutatanisha. Jambo hili lisiende kwa hati ya dharura. Lipelekwe kwa njia ya kawaida. Kwamba mawazo yote yatapelekwa bila kuchakachuliwa.

Mgeni rasmi kasema tuvumiliane.
Niwaombe wajumbe, tuende kwenye ajenda sasa. Twende kuongea yale yaliyopungua kwenye mswada.
Duniani lazima tuige hata mifumo ya kiroho.
 
Mongella: Mimi ninambo yamenikumbusha wakati natafakari suala hili la 4R. Vingi tu hasa katika mabadiliko ya mifumo. Hasa mabadiliko ya katiba. Mimi nalitaka.
Katiba tu hata bila mwelekeo wengine watadidimia zaidi. Mfano katiba imesema binadamu wote ni sawa, je wanawake na wanaume wapo sawa?

Tusitafakari vitu vichacheviche tutafakari kwa mapana. Mimi katiba naitaka. Katiba kwaajili ya kuleta katiba lazima mnieleze kuwa katiba inatengenezwaje.

Jambo la mwisho watu weeengi, juzi tumefanya experiment wakati tunakunywa tu bia twetu. Niliwaambia mimi jamani naenda kwenye 4R watu hawajui.
Hatujapata namna ya kuziondoa 4R za mama Samia ili ziende kwa wananchi. Tumeamua Lugha ya kiswahili lakini hatujakitumia.
Kuna watu nje hawajui 4R
 
Mbona unawakana wenzako.
Nimeuliza wenzangu wapi?.
Mimi ni mtu wa Kawe, wana Kawe ni wenzangu.
Mimi ni mwandishi wa habari, waandishi wa habari ni wenzangu.
Mimi ni Mtangazaji, watangazaji ni wenzangu,
Mimi ni mwanasheria, wanasheria ni wenzangu.
Mimi ni wakili, mawakili ni wenzangu.
Mimi ni mwana jf, wana jf ni wenzangu.
Mimi ni Msukuma, Wasukuma ni wenzangu.
Mimi ni kada, wenzangu ni makada.
Wenzangu wepi?.
P
 
Tuangalie Mheshimiwa rais anazungumza nini hapa ndani. Rais anazungmza katika 4R anatumia kama nyenzo ya kujenga demokrasia, vyombo vya kisiasa na kisheria yaweze kukidhi mahitaji ya sasa na baade. Hata kama wengine watapinga.
Demokrasia haiwezi kuwepo Tz kupitia Katiba hii iliyopo ambayo imetungwa na watu wenye mrengo wa falsafa ya Ujamaa/Ukomunisti.
 
Huyu Salim Mwalimu kafuata Nini huko?. Very stupid.
Kabisa, ameenda kujichoresha tu hapo. Labda kwakuwa cdm wanataka kushiriki uchaguzi, hivyo ameenda kusikiliza kama Kuna jipya. Lakini kwangu naona ni kupotezeana muda tu.
 
Mkuu butron, please try to be positive, mchakato wa katiba, kimeundwa kikosi kazi, sheria ya kuunda Tume huru ya uchaguzi umeisha somwa kwa mara ya kwanza leo ndio tumeitwa kutoa maoni.
P
Wapuuzi Katika ubora wenu. Hivi Pascal na elimu yako huoni kwamba huu ni upuuzi mwingine wa kuunguza tu pesa za Watanzania? Hakuna nia njema hata ndogo hapo.
 
Wasira: Kwanza kabla sijajibu swali lako. Namshukuru shaibu kwa hitirafiana na mimi. Kuhitirafiana ndio mjadara.
Nilipokuwa nazungumzii Reconciliation siyo kuwa kuwa nimeikataa Reforms hapana.

Tunapoongelea kuvumiliana. Mfano tunataka katiba leo. Rais ameunda kikosi kazi sasa hiyo si ndio ratiba yenyewe.
Rais alisema katiba siyo ta wanasiasa tu. Ni ya watu wote.
Eti tuwe na katiba itapatika siku fulani. Sasa tulikubaliana kuwe na Minimum Reform na hapa ndio hatua hiyo ya reform.
Huwezi kufanya reform leo tu reform asubuhi.
Mfano tanzania asilimia kubwa ni maskini. Unaongelea reform huwezi kufanya siku moja tu. Yaani 26% ya watanzania maskini kuwatoa ni lazima reform.

Wale wanaosema tumeelew, hawajaelewa
 
1704277418590.png
 
Back
Top Bottom