Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Mbona unawakana wenzako.No mimi always niko very open and transparent, kila nikihudhuria any public interest events, huwa najitokeza.
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unawakana wenzako.No mimi always niko very open and transparent, kila nikihudhuria any public interest events, huwa najitokeza.
P
Nimeuliza wenzangu wapi?.Mbona unawakana wenzako.
Demokrasia haiwezi kuwepo Tz kupitia Katiba hii iliyopo ambayo imetungwa na watu wenye mrengo wa falsafa ya Ujamaa/Ukomunisti.Tuangalie Mheshimiwa rais anazungumza nini hapa ndani. Rais anazungmza katika 4R anatumia kama nyenzo ya kujenga demokrasia, vyombo vya kisiasa na kisheria yaweze kukidhi mahitaji ya sasa na baade. Hata kama wengine watapinga.
Kabisa, ameenda kujichoresha tu hapo. Labda kwakuwa cdm wanataka kushiriki uchaguzi, hivyo ameenda kusikiliza kama Kuna jipya. Lakini kwangu naona ni kupotezeana muda tu.Huyu Salim Mwalimu kafuata Nini huko?. Very stupid.
Wapuuzi Katika ubora wenu. Hivi Pascal na elimu yako huoni kwamba huu ni upuuzi mwingine wa kuunguza tu pesa za Watanzania? Hakuna nia njema hata ndogo hapo.Mkuu butron, please try to be positive, mchakato wa katiba, kimeundwa kikosi kazi, sheria ya kuunda Tume huru ya uchaguzi umeisha somwa kwa mara ya kwanza leo ndio tumeitwa kutoa maoni.
P
Be positive, kuna nia Njema.Wapuuzi Katika ubora wenu. Hivi Pascal na elimu yako huoni kwamba huu ni upuuzi mwingine wa kuunguza tu pesa za Watanzania? Hakuna nia njema hata ndogo hapo.