Mkutano mkubwa injili kutoka kwa Mhubiri Maarufu wa Kenya Nabii Ezekiel Odero uliokuwa ukiendelea wapigwa stop na Serikali

Mkutano mkubwa injili kutoka kwa Mhubiri Maarufu wa Kenya Nabii Ezekiel Odero uliokuwa ukiendelea wapigwa stop na Serikali

Tatizo mmeshindwa kujenga matundu ya vyoo vya shule, ndio maana Nabii ameamua kutoa msaada, badala ya kumshukuru mnauzuia mkutano wake kwa hila.
 
Kwa hekima tu, wazuiaji wa huo mkutano wasingejitokeza wao kutoa zuo, mkutano utakuwa una mwenyeji ambaye ndiye angetangaza kuwa hakuna mkutano utakaoendelea. Watu wasiohusika na mkutano huo kuvamia na kutoa katazo ni uhuni na ni fujo, bora polisi wangevamia na kuutawanya mkutano huo kwa yale mabomu ya machozi hata kama hawana maelezo ingeeleweka mkutano umevunjwa na polisi labda hauna kibali cha kukusanyika. Hekima na busara ni bora sana katika kuamua mambo kwa amani na upendo
kwa hiyo hekima na busara ni kuutawanya kwa mabomu ya machozi?8
 
kwa hiyo hekima na busara ni kuutawanya kwa mabomu ya machozi?8
huoni kuwa ni vibaya kuvamia mkutano na kuanza kutoa zuio kiholela? Nimekuambia bora polisi na mabomu yao ya machozi, wale tunajua ni wazee wa kuvamia na kufanya yao
 
Back
Top Bottom