mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hiyo hekima na busara ni kuutawanya kwa mabomu ya machozi?8Kwa hekima tu, wazuiaji wa huo mkutano wasingejitokeza wao kutoa zuo, mkutano utakuwa una mwenyeji ambaye ndiye angetangaza kuwa hakuna mkutano utakaoendelea. Watu wasiohusika na mkutano huo kuvamia na kutoa katazo ni uhuni na ni fujo, bora polisi wangevamia na kuutawanya mkutano huo kwa yale mabomu ya machozi hata kama hawana maelezo ingeeleweka mkutano umevunjwa na polisi labda hauna kibali cha kukusanyika. Hekima na busara ni bora sana katika kuamua mambo kwa amani na upendo
Si ndio atawapeleka mbinguni bila kwereHebu tuwekee picha zao tuwaone wanavyofanana[emoji16][emoji16]
huoni kuwa ni vibaya kuvamia mkutano na kuanza kutoa zuio kiholela? Nimekuambia bora polisi na mabomu yao ya machozi, wale tunajua ni wazee wa kuvamia na kufanya yaokwa hiyo hekima na busara ni kuutawanya kwa mabomu ya machozi?8