Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Chauma wanasema ukubwa wa chama sio watu, ni hoja. Waache waote ndoto za mchana.Naskia sauti za wanafunzi wa primary
Umati wa kutisha
Naona kama vile ni Lukas Mwashambwa na wanae na jirani zake,wanabubujikwa na machozi ya furaha!

Acha kuwadanganya.Waombee malori na kapelo wakagawe vijijini.Hatua kwa hatua.
Ni wachache Lakini wapo.
Hata gari likianza mwendo huanza na gia ndogo.
Kama hakuna watu wa kukusikiliza hzo hoja zako utamwambia nani?Chauma wanasema ukubwa wa chama sio watu, ni hoja. Waache waote ndoto za mchana.
Hivi unawezaje kuwa sehemu ya chama kisicho na watu serious kiasi cha kusema sera yetu ni ubwabwa? Kama wanasisa wa Tanzania ni wa level hii na ndio wanataka wawe chama kikuu cha upinzani, basi acheni CCM watawale, pamoja na uovu na ufisadi wao.
labda ukuchanganye wewe unaepakwa kilainishi kwenye matyako muda wotehuu mkutano utawachanganya sana chadema maskini ya Mungu dah![]()