PreGE2025 Mkutano mkubwa wa CHAUMMA Kijiji cha Kamgise, Jimbo la Serengeti

PreGE2025 Mkutano mkubwa wa CHAUMMA Kijiji cha Kamgise, Jimbo la Serengeti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ni tetemo. CHAUMMA yavunja rekodi ya vyama vyote vya siasa nchini Tanzania kwa uwanja kufurika maelfu ya wananchi waliohudhuria na kufuatilia mikutano yao kanda ya ziwa 🤔🤔
 
Matokeo yakitangazwa Chaumma wabunge 20.

Hata ACT 2015 waliahidiwa majimbo yote Kigoma ila baada ya uchaguzi mkuu wakapata Jimbo moja tu na kura 70,000 za urais nchi nzima. Siasa ni watu sio makubaliano ya chumbani.
 
Ni Kamgise au Kemgesi au hilo jina linaandikwaje? Kuweni makini na majina ya vijiji vya watu.
 
Naona aibu. Mambo mengine kufanya inatakiwa uwe na upungufu kidigo wa akili.
Mrema anajidhalilisha sana.
 

Umati wa kutisha
IMG-20250604-WA0009.jpg
 
Video zinaonyesha wanaozungumza jukwaani sio walienda kuhudhuria, chauma imejifia
 
Mbona zomea zomea tena? Nasikia no reform no election
 
Back
Top Bottom