SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Masikini Mbowe anavuna aibu namna hii, japo hajaonekana mbele lakini hii ni project yake na Samia kuidhoofisha Chadema.
Masikini Mbowe anavuna aibu namna hii, japo hajaonekana mbele lakini hii ni project yake na Samia kuidhoofisha Chadema.
Kwa staili hii hata Samia atabadili gia angani kuwapa hayo majimbo 30 waliyokubaliana kwenye nusu mkate.Matokeo yakitangazwa Chaumma wabunge 20.
Muda wote wanaongelea CHADEMA. Namuona na yule mama Catherine kwenye jukwaa. Hivi ni kwa nini ameamua ''kujinyonga'' kisiasa wakati alikuwa ni mtu potential sana? Huyu destination yake ni CCM akapakatwe na mibaba ya CCM kabla hajapewa cheo.Umati wa kutisha
Hadi huruma.
mdogo mdogo, CHAUMA inawasubiri wanachama wake wamalize shule ya msingi na sekondari!Hatua kwa hatua.
Ni wachache Lakini wapo.
Hata gari likianza mwendo huanza na gia ndogo.
Naunga mkono hoja. Waweke picha za matukio. Hizo clips zinatumalizia tu bundle.Wekeni picha video za nini? Au mnataka kupunguza watu wa kuangalia matukio?
Mnapotezewa maboya tu. Chama kinachoandaliwa ni ACT Wazalendo.Chauma wanasema ukubwa wa chama sio watu, ni hoja. Waache waote ndoto za mchana.
Hivi unawezaje kuwa sehemu ya chama kisicho na watu serious kiasi cha kusema sera yetu ni ubwabwa? Kama wanasisa wa Tanzania ni wa level hii na ndio wanataka wawe chama kikuu cha upinzani, basi acheni CCM watawale, pamoja na uovu na ufisadi wao.
Na ndo uwanja aliokuwa anatumia akiwa na ChademaHuko ni kwoa na kina Catherine Ruge?
Nimeelewa!Na ndo uwanja aliokuwa anatumia akiwa na Chadema