PreGE2025 Mkutano mkubwa wa CHAUMMA Kijiji cha Kamgise, Jimbo la Serengeti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Naskia sauti za wanafunzi wa primary
Chauma wanasema ukubwa wa chama sio watu, ni hoja. Waache waote ndoto za mchana.

Hivi unawezaje kuwa sehemu ya chama kisicho na watu serious kiasi cha kusema sera yetu ni ubwabwa? Kama wanasisa wa Tanzania ni wa level hii na ndio wanataka wawe chama kikuu cha upinzani, basi acheni CCM watawale, pamoja na uovu na ufisadi wao.
 
Hatua kwa hatua.
Ni wachache Lakini wapo.
Hata gari likianza mwendo huanza na gia ndogo.
 
Yani mfadhili wa CHAUMMA aliwekeza kwenye kilimo cha matikiti.

Hili namithilisha na mwanaume kuzuzuka na tako la demu halafu mkiingia ndani unakuta pamoja na chupi, anavua na tako pia, kwamba ni kigodoro.

Mfadhili aliaminishwa na kina Mrema kuwa ndio ma think tank wa chamaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Akaingia kichwa kichwa kuwekeza. Sasa hivi ndio anagundua kumbe kachukua magarasa ya CHADEMA, hata hayajui yanasimamia nini.

Mwamba kanunua nyumba kwa kuvutiwa na rangi, kumbe ni nyumba ya udongo iliyopigwa lipu.

Mnufaika wa hili lote ni Mzee Rungwe, kajipatia ubwabwa wake wa uzeeni.
 
Kama hakuna watu wa kukusikiliza hzo hoja zako utamwambia nani?

Itoshe kusema Hao ccm b hawana jipya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…