PreGE2025 Mkutano mkubwa wa CHAUMMA Kijiji cha Kamgise, Jimbo la Serengeti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Umati wa kutisha
Muda wote wanaongelea CHADEMA. Namuona na yule mama Catherine kwenye jukwaa. Hivi ni kwa nini ameamua ''kujinyonga'' kisiasa wakati alikuwa ni mtu potential sana? Huyu destination yake ni CCM akapakatwe na mibaba ya CCM kabla hajapewa cheo.
 
Hatua kwa hatua.
Ni wachache Lakini wapo.
Hata gari likianza mwendo huanza na gia ndogo.
mdogo mdogo, CHAUMA inawasubiri wanachama wake wamalize shule ya msingi na sekondari!

tukutane 2035 CHAUMA
 
Hao wanafunzi mkute mmewadanganya kuna ubwabwa
 
Mnapotezewa maboya tu. Chama kinachoandaliwa ni ACT Wazalendo.
 
Hapo ndio ujue hao ni ccm tu imagine huyo mkuu wa SHULE angeruhusu wanafunzi hao wakamsikilize Heche na lissu angefanywaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…