Mkutano Mkuu Simba

Hizi timu zetu zina uongo uongo mwingi.
Simba walitangaza kuwa watapokea 4.5bil kwa mwaka kutoka M-BET kama main sponsor, ajabu kwenye kusoma Mapato ya Mwaka 22/23 M-BET anatoa 2.5bil
Kwa hiyo mwaka umeisha tangia M Bet waingie mkataba na Simba?.

Au unadhani pesa zinatolewa tu kama unatoa pesa ya kununua maandazi?

Kuna kanuni za kihasibu zinazosimamia ulipaji wa pesa na pia mkataba wenyewe. Hizo hizo zinasimamia utoaji taarifa za kihasibu. Hizi kanuni rafiki hautakiwi kucheza nazo unakula miaka na ni kosa kisheria. Mpaka hapo taarifa ya Simba ipo sahihi kuhusu pesa ya M Bet

Mkataba ni kuwa kwa Mwaka watapokea 4.5B kwa mujibu wa ulichoandika. Mpaka hapo sina hakika muda wa mkataba ulioisha, lakini nahisi itakuwa imepita miezi 6. Hiyo 4.5B imegawanyika kulingana na mkataba kwamba Simba watapokea pesa kila mwezi au vinginevyo mpaka mwaka uishe itakuwa imelipwa yote.

Usitegemee mwanzoni tu au katikati ya mkataba M Bet atachota 4.5B na kwenda kuwapa Simba. Hauoni ataathiri financial position yake hasa upande wa liquidity au working capital.
 
Wewe ndio zaidi ya Mbumbumbu ata hujui una andika Nini. Manzoki hawezi kutumikia Mikataba miwili Kwa wakati mmoja.
Manzoki amesajiliwa China, kwasasa anajiuguza majeraha yake, Simba atakama walikua na pre contract imekufa Kwa kifo Cha Asili baada ya kusajiliwa China.
Mki mtaka Manzoki inabidi mvunje mkataba wake wasasa au msubilili uishe awe free agent.
 
Bill nakuonea huruma.Huwezi na rudia huwezi kumfundisha "fisi" kupanda mti.Ukimkuta juu ya mti basi kapandishwa. Unapoteza muda hao hawako kwenye wale wawili wenye akili timamu.Kuwaelewesha na wakaelewa ni kutaraji miujiza.
 
Ni makubaliano tu. Kambole na Yacouba kwa zaidi ya miezi mitatu wamekaa kambini Kigamboni wakiwa wana mkataba na Yanga ila hawachezi. Namna walivyokuwawanalipwa ni makubaliano na klabu yao
Hujajibu swali.
 
Nakupata vyema bro ila kwenye suala la bonus hiyo ni muhimu sana wachezaji ni wafanya kazi kama wafanyakazi wengine bonus inawapa motisha kufanya vizuri zaidi hata makampuni ya kawaida huwapa employees bonus/ motisha hicho ni kitu Cha kawaida na 800M kwa idadi ya watu wale ni sawa na ukumbuke hii ni bajeti (expection not real consumption) huenda ikapungua pia.

Swala 2; kwenye bus service naungana na wewe otherwise labda mtu wa magari atupe clarification zaidi iwapo inaweza kufika 26M per year
 
Wewe ulikuwa wapi hadi hukuuliza swali hilo?
 
Hizi mambo ungeenda na sera hii unapunguza idadi ya kura hasa kutoka kwa chawa wanaomkubali mo
 
Daah kumuelewesha mbu3 ni kazi ngumu sana Mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo ni zaidi ya mbu3
 
Bill nakuonea huruma.Huwezi na rudia huwezi kumfundisha "fisi" kupanda mti.Ukimkuta juu ya mti basi kapandishwa. Unapoteza muda hao hawako kwenye wale wawili wenye akili timamu.Kuwaelewesha na wakaelewa ni kutaraji miujiza.
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚ kweli hawa ni mafisi.
 
Reactions: Tui
Haya yote umeandika sababu ya wivu tu!
 
Reactions: Tui
Nimesikiliza wagombea wakijinadi...hamna kitu pale wote hovyo kabisa.......kama sera ni kumfunga YANGA , basi Simba inapitia kipindi kibovu sana cha leadership.

Huenda kuna sababu ya Barbrah kujiweka kando.
Hamna vision za kisayansi kabisa...
 
Ila makolo kweli hamnazo

Kwahiyo Manzoki kaingia mkataba na Simba alafu kapangiwa kituo cha kazi China?

Mtu mmoja awe na mikataba miwili msimu mmoja?

Wakati mwingine hata kama hatujuani hebu ficheni ujuha basi
 
Duh! Rage aliona mbali sana, yaani timu inahitaji huduma ya mchezaji, inaingia naye mkataba kisha anaenda kusajiliwa china?
 
Msimamizi wa uchunguzi Manzoki bado tu hajatangaza matokeo?
 
umeandikika kimbumbumbu sAnA
 
Huyu mwenzetu anahitaji wahasibu waje wamweleweshe vizuri maana ya Financial Year 2022/2023.Inampa tabu kujua kuwa nusu ya hiyo Financial Year itacover July to December ya 2022.
Wee ushaambiwa kule utopolo wenye akili ni JK na Mzee manara tu
 
Ulisoma shule gani wewe? hii ni zaidi ya aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…