Mkutano Mkuu Simba

Kwa hizi akili mtaendelea kupigwa sana, mchezaji anaweza ku sign mikataba miwili at once? au una maanisha alienda China kwa mkopo?
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana, hapa tunajadili mambo ya Simba na si ya Utopollo.
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana, hapa tunajadili mambo ya Simba na si ya Utopollo.
Wewe unajadili mambo ya Simba kama nani?Mwanachama hai, mpenzi au nani?Mbona imekuuma nilipotaja Utopolo?
 
Motivation kwenye kazi yako?
Motivation huja baada ya Mafanikio
Aisee.... Motivation hufanyika wakati wa kazi au hata baada. Pia kuna positive motivation na negative motivation. Kwa mfano zawadi ya mchezaji au kocha bora wa mwaka inatolewa kila mwezi kama positive motivation. Mchezaji kupewa adhabu kama kufungiwa au faini ni negative mitivation ambayo lengo lake ni kuzuia tabia kuenea au kujirudia.
Sasa wewe tuambie iwapo zawadi hizo hutolewa mwisho wa msimu. Na kama zinatolewa ligi ikiwa inaendelea lengo lake ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…