Uchaguzi 2020 Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amteua Samia Suluhu kuwa Mgombea Mwenza

👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽💃🏽
 
Mpemba James Brown , The truck turner 😛 😛 Sorry kumbe ni Jumbe Brown , ile list ya majina alikupa Bashite ??😛😛😛😛

Arent you absentminded?!!
Hope uko sober Mana Al Kasus haileweshi.....

Sijakwambia mm mpemba.....hlo neno kuhusiana sijalitumia km mtumiavyo kuwa ni kidamu....

Nmetaka kukueleza jins gn Nina closest friends wa kutoka kwenu chokocho,ziwani etc.

Hiyo list NI fellas wangu tuliohaso ktka siasa miaka michache hapo nyuma sa naendelea kukushangaa jins unavyorukaruka na flight of ideas.........
Sasa miye na ww Nani hatoki ha ha ha iwe humu MAANDISHINI iwe JUKWAANI....
 
Swali zuri sana kwa wale mnaoseme urais wa Zanzibar umekuwa kama usultani.

Maalimu Seif amekuwa mgombea urais wa Zanzibar tangu mfumo wa vyama vingi uanze na hajawahi kushinda.

Mbowe ni Mwenyekiti wa CHADEMA kwa zaidi ya miaka 20 na hana mpango wa kustaafu.

Sasa yupi ni Sultan hapo?

Maendeleo hayana vyama!
 
Wenzako uliowataja hapo wote wana vyeo, wewe vipi ndo unakitafuta au??
 
Hivi huyu mzee hana watoto wa kiume jamaniiii
 

Sultan ni yule anayerithishwa cheo na wazazi wake. Sasa kati ya hao wawili niambie ni nani anarithi cheo au nafasi ya uongozi?
 
Akihojiwa na mwandishi wa Habari Nape Nnauye ameipongeza Sekretariati pamoja na Kamati kuu ya CCM kwa kuandaa mkutano mkuu na amefurahia transparancy iliyooneshwa.
 
Paah...
Jiwe limewapata usoni. Ni mbowe na seif
 
Sultan ni yule anayerithishwa cheo na wazazi wake. Sasa kati ya hao wawili niambie ni nani anarithi cheo au nafasi ya uongozi?
Kurithi kukoje? Anatoka baba yako then unachukua we madaraka au kuna wengine kama wanne wanapita hapo katikati then unakuja wewe ndo unakua umerithi? Tena hao waliopita hauna hta vinasaba nao, haya tuambie Hussein Mwinyi amerithi kwa nani?
 
Huyu hana namna, lazima apongeze tu, maana aliyemuita mshamba ndiye ameshika mpini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…