Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Hana sifa ya kushinda kwa box la kura toka zamani. Na hilo la kuwa na fomu moja ya matokeo General Election ni agizo lake. Unaposikia atashinda kwa 90%+ ujue hayo ni maagizo yake. Na kuna misukumo mikubwa ya kutaka wapinzani wasishindane na yeye ili apite bila kupingwa. Na iwapo wapinzani watakaza kamba tutarajie damu kumwagika, na uchaguzi wa kishenzi kuwahi kutokea hapa nchini.
Wanafuata mlo , njaa inawahangaisha
No hate na fear mmeisahau? Au kwa kua haikutoka mioni mwenu bali kwa chui mwenye ngozi ya kondoo?
Ukweli ni kwamba chadema mna chuki saana,
Lakini kazi ya mchawi ni chuki, na hiyo chuki imemfanya mchawi kuwa mtu wa shida miaka yote,
sasa chadema nawafananisha na mchawi,
Hizo chuki zenu mtabaki hapohapo hadi dunia inaisha.
Mtapambana na CCM n ipo siku mtakuta chama kingine kimewapita sasa badala ya kupambana na CCM mtaanza kupambana ni viama vingine ambavyo vimewazidi wabunge.
Ni ushauli tu.
Aiseeee!!Hivi harusi za kubariki ndoa nazo huwa zina msisimko mkubwa kama za wanaoowana kwa mara ya kwanza?
Swali fikirishi je mnajua kwamba binadamu ana akili nyingi sana ila ni mvivu wa kuzitumia na hili linapelekea tuone wengine wana akili, siyo hilo tu ambao wanaakili kuliko hao mnao dhani wanaakili kuliko hawana/hawajabahatika kupata fursa ya kuongea nyuma ya mikamera 'we do not excersize much of our brains'Hili jambo linaulizwa kwa chini chini na watu wengi sana , lakini mimi najitokeza hadharani kuomba majibu yenu , hii ni kwa sababu mikutano iliyopita ya chama hiki ilikuwa na mvuto na msisimko wa kipekee .
Mkutano wa Mkuu wa CCM wa mwaka 2010 ulikuwa na msisimko mkubwa sana kutokana na Kampeni ya Kuondoa KOFIA MBILI , Kwa maana ya kutenganishwa kwa Urais na Uenyekiti wa ccm , hii kampeni ilikuja kuzimwa kiakili sana .
Mwaka 2015 yote yaliyotokea nyote mnayakumbuka , wapambe wa Membe akiwemo Riziwani na Mamaake waliopambana kufa na kupona kumtafutia kura Membe huku wakipambana na Akina Mgeja na kundi la Friends of Lowass a vilifanya Mkutano mkuu huo wa ccm kuleta msisimko wa aina yake, yaliyokuja kujili baada ya mchakato huo wote mnakumbukaa hatimaye Lowassa akang'oka ccm.
Bali mkutano wa 2020 yote haya yamekosekana , wajumbe wanaugulia ndani kwa ndani huku wakijawa hofu kubwa mno , badala ya furaha imekuwa kama mkutano wa Maombolezo !
Waliyemwita majina yote mabaya imekuwaje kawaweka kwapani?Magufuli amefanikiwa kukiweka CCM kwapani kama sio makalioni.
Nasikia kura wala hazikuhesabiwa baada ya kuona HAPANA nyingi.Waliyemwita majina yote mabaya imekuwaje kawaweka kwapani?
Boss vidole havifanani......na si lengo la kila mwanaCCM kindakindaki Kuwa na cheo...kwny siasa Kuna angle nyingi kalaghabahoWenzako uliowataja hapo wote wana vyeo, wewe vipi ndo unakitafuta au??
Na kweliMpambano ungekuwa mkali kama Membe angepewa form ya kugombea URAIS pia; sasa jamaa wameweka mpira kwapani ndio maana hakuna msisimko!!
Fazili muongo km tumba mbichi.....mnapenda Sana KWENDA KINYUME na UHALISIA nyinyi...Nasikia kura wala hazikuhesabiwa baada ya kuona HAPANA nyingi.