Uchaguzi 2020 Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amteua Samia Suluhu kuwa Mgombea Mwenza

Anataja Sekta mbalimbali na mafanikio yake

Kuna jamaa anasema eti wajumbe wa Zanzibar walikuwa 35, na wa bara walikuwa 129, huku Mwinyi akipata 129. Je hiyo ni kuwa wazanzibari wanachaguliwa kiongozi na Tanganyika?
 
Namuona Dogo Janjaro hapo
 
Nilijua tu, kijana anaendana na spidi ya jpm.
 
Membe anachukua form upinzani.
 

Namuona Kijana MWENZETU Joshua Nassari....
Karibu Sana komredi,karibu nyumbani Kaka.
Mlituzodoa Sana kwa maneno ya KUCHUSHA huku mkisahau maisha NI safari ndefu na SIASA ZINABADILIKA...ila tumewasamehe kwa Maana mmeshajua Sasa kuwa AKIBA YA MANENO NI SILAHA KUBWA MAISHANI.

Najua mmeshajitambua....
Najua mmeshabadilika....
Najua mmeshaacha MAZOEA.....

Karibu Tukijenge chama,braavooo.

Hasta la Victoria CCM
Siempre siempre CCM
ALuta continua CCM
Viva CCM
KIDUMU CCM.

TWENDE NA MAGUFULI KIUNZI CHA 2020.
 

Sasa mbon Mzee Baba alianza kampeni mara tu baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015! Wapinzani walipigwa marufuku kufanya siasa, Alipiga marufu Bunge Live, Uhuru wa Vyombo vya Hqbari uliminywa kwa kiwango cha juu sana, mitandao ya kijamii nayo haikuachwa salama, nk.

Hii sasa ndiyo tunayoiita mkuki kwa nguruwe.
 
Hawa wasaliti wamefurahia
 
Mzee Lowassa anamuomba mh.RAIS Magufuli aendelee KUFINYA....ili SPIDI isipungue........

Viva CCM
 
Wakuu kwema ,poleni na hongera kwa majukumu ,Leo ni tarehe 11/07/2020 ambapo CCM wanafanya Mkutano Mkuu ,katika kikao hili kuna watu wawili wamenifurahisha ,Kwanza ni kumuona mzee wetu Lowasa akitoa neno la pongezi kwa Mhesh Rais wetu ,Pili Mzee wetu Mrema alipofanikisha kumchekesha Rais wetu ama kweli wazee ni hazina ya nchi na jamii kwa ujumla.
 
Magufuli hana Heshima kwa viongozi wenzake
 
Sia
Bado nashangaa lipumba, mrema wanatafuta nini kwenye mkutano wa ccm, mwenye majibu anisaidie

Siasa si uadui km mnavyotaka iwe.....

Mrema alikuwa CCM....
Lipumba naye......

Lakini pia mkutano mkuu wa CCM unawaalika wanasiasa wa upinzani.

Chukua hiyo.
 


Wewe kwa akili zako.unafikiri anaipenda CCM au Ni fursa kafata?? Watu wengi wamefata fursa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…