mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Umemchoma mkuu lazima apanic akili zenyewe kidogo hawezi kujibu hoja huyo ni kilazaJibu hoja! Mbona umepaniki tena!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemchoma mkuu lazima apanic akili zenyewe kidogo hawezi kujibu hoja huyo ni kilazaJibu hoja! Mbona umepaniki tena!!
hahahaha jamaa wanafurahisha sanamheshimiwa ndugai anahusika katika usimamizi
hili lenyewe la kizungu, bahati mbaya ni wazung wa mwaka 1345 ndo walikuwa wanafanya haya.kama unataka mazoez ya kizungu kizungu subiri kwa trump mwakan
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Habari wakuu,
Ninekuja mtembelea jamaa yangu hapa nimemkuta anafuatilia mkutano wa CCM na zoezi la upigaji kura liko linafanyika huko. Kilichonichekesha katika zoezi hili ni:
1. Hakuna usiri
2. Wajumbe wanapigiana kura (nimeona mmoja anapiga kwa niaba ya mwenzake)
3. Maandalizi hayakuwa vizuri (kuna uchache wa peni ) naona wana azimana tu, hawajui hata walienda fanya nini.
4. Naona watu wanatumia kujitangaza, baada ya kupiga kura wanajionesha ili teuzi zipite kwao.
5. Ukusanyaji wa kura ni vichekesho
kifupi, sijaona cha maana katika hili zoezi; liko kiswahili swahili sana.
[emoji1787][emoji1787]Mafanikio ya awamu ya tano yameondoa korona usiwe na wasiwasi[emoji23]
This spent force is hopeless! Indeed hopeless!chi yetu inaendeshwa kwa Katiba lazima tuienzi, , tusiingilie lakini tunaweza kuiahirisha kwa muda mfupi ili kumpa Rais wetu kipindi kingine kimoja cha asante. Hic
Sasa matatizo gani?kwani hujamsikia akimfokea afanye haraka asije kumkatisha?Pure Negativity, aina ya watu kama wewe huwa ni watu wa kutafuta mabaya tu kwenye kila jambo. Mara nyingi huwa mna matatizo flani flani ya kisaikolojia
Kula ndio nini?Amepata kula zote 1822.... Hakuna kula iliyoharibika na wajumbe wote wamepiga kula...
Sio kwamba anapendwa mkuu.Asilimia 100....kweli jamaa anaogopewa.
Hapa ukimbini ni nderemo tu mkuu kibamia na Dond wapo kwenye stage moja Mambo ni safi kabisaa.Eti hakuna aliosema hapana!!!!!! 😂😂😂😂😂😁😁😁🤔🤔😀😀😎😎