Uchaguzi 2020 Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amteua Samia Suluhu kuwa Mgombea Mwenza


Mkuu zamani nilikuwa nikisikia wazungu wanatuita manyani nilikuwa nakasirika sana. Ila baada ya kufuatilia vizuri nimegundua wako sawa. Mfano wa halisi wa sisi kuitwa manyani, ni hayo unayoyaona hapo.
 
Pure Negativity, aina ya watu kama wewe huwa ni watu wa kutafuta mabaya tu kwenye kila jambo. Mara nyingi huwa mna matatizo flani flani ya kisaikolojia
Sasa matatizo gani?kwani hujamsikia akimfokea afanye haraka asije kumkatisha?
 
Ha ha ha.....kwani Magufuli anadhani Mzee Mkapa ni mzee wa "uwazi" upi?
 
Amepata kura zote 1822.... Hakuna kura iliyoharibika na wajumbe wote wamepiga kula...
 
Eti hakuna aliosema hapana!!!!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€”πŸ€”πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ŽπŸ˜Ž
 
Hongera Magufuli kwa kupata kura zote.

Magufuli OYEEEEEEE

Kura 1822 za ndioooooooooooooo

[emoji1540][emoji1540]
*β€œMwenyekiti nakushukuru sana kunipa heshima hii sikuitengemea nilikuwa najua Mawaziri Wakuu Wastaafu wapo wataongea kwa niaba yangu nashukuru sana. Hakuna ubishi kwamba toka umechukua nchi; Nchi inakwenda vizuri sana! Hakuna ubishi.., yako mambo waliyokuwa wanasema hayawezekani sasa yanawezekana chini ya uongozi wako. Hakuna ubishi.., Nchi imetulia na inakwenda kwa speed sana! Tunakuomba uendelee kufinya! Speed isipungue!; Iendelee vile vile kama ilivyoanza” - Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa*
Mkutano Mkuu CCM 2020
Dodoma

TANZANIA INAZIDI KUFANIKIWA katika vita ya kiuchumi

na KAZI INAENDELEA *kujenga uchumi imara kwa Taifa*
#ccm2020
 
Eti hakuna aliosema hapana!!!!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€”πŸ€”πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ŽπŸ˜Ž
Hapa ukimbini ni nderemo tu mkuu kibamia na Dond wapo kwenye stage moja Mambo ni safi kabisaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…