Uchaguzi 2020 Mkutano Mkuu wa CCM kukutana Julai 11 na 12 kumpitisha Mgombea Urais Dkt. Magufuli na kupitisha Ilani

Uchaguzi 2020 Mkutano Mkuu wa CCM kukutana Julai 11 na 12 kumpitisha Mgombea Urais Dkt. Magufuli na kupitisha Ilani

CHAMA kimeshika HATAMU,dereva bora KAPATIKANA....

Kama WARUSI wameamua PUTIN aendelee, Mimi kwanini NISIOMBE MUDA UFIKE niandamane na mh. Ally Kessy TUMSHINIKIZE MWANA BORA WA AFRIKA MAGUFULI aendelee kuongoza kwa KIPINDI KINGINE baada ya 2025.....

Eeee Mwenyezi Mungu MPE AFYA NJEMA NA KUMUWEKA HAI MBUNGE WA NKASI MH ALLY KESSY.
Aaamin thumma aaamin, yaa rabbal aalamin!!
Unamuombea mkatoliki ambae kwa dini ya mtume ni kafir au?
 
Magufuli anakiogopa mpaka kivuli chake mwenyewe kisishindane naye.
 
CHAMA kimeshika HATAMU,dereva bora KAPATIKANA....

Kama WARUSI wameamua PUTIN aendelee, Mimi kwanini NISIOMBE MUDA UFIKE niandamane na mh. Ally Kessy TUMSHINIKIZE MWANA BORA WA AFRIKA MAGUFULI aendelee kuongoza kwa KIPINDI KINGINE baada ya 2025.....

Eeee Mwenyezi Mungu MPE AFYA NJEMA NA KUMUWEKA HAI MBUNGE WA NKASI MH ALLY KESSY.
Aaamin thumma aaamin, yaa rabbal aalamin!!
Tutamuomba kwa nguvu zote....
 
MMungu mkubwa Ina first name ya baba yenu na third name ndio kusudio lako Pombe hahahahaha uliemkusudia hajatajwa kamwe kwenye picha yako // imemtaja faru John na Pombe hahahahaha.
Kamwe usiitumie FARU JOHN km unaishi GHOROFANI kwi kwi kwi in Mnyika voice
 
Wazungu wengine huku wakiona ngozi nyeusi wanakutupia ndizi wakidhani wewe ni nyani.Sasa mnakaa kupitisha mgombea ambae ni mmoja .....Niliambiwa wachawi wa Gamboshi walitoa vitisho na tamko kua mtu atakae chukua fomu dhidi ya Magufuli ndani ya CCM atapotezwa kabisa.
Basi kama wenzako wameogopa uchawi kachukue wewe fomu.
 
John utanisamehe, mbona mnakuwa kama majuha? Mnakaa kupitisha nini wakati hakuna mshindani na "utamaduni" umeshatamka kuwa ni yeye? Msijigeuze club ya majuha!
Tunaenda kumteua rais wa mkoa wa zanzibar
 
Thibitisha Mungu yupo kwanza.
Najua msimamo wako kuhusu uwepo wa Mungu.

Kiranga una sauti kubwa Sana jamiiforums.

Naomba nikuulize swali.

Master J anagombea CCM ubunge kule Moshi.

Muulize swali kupotea kwa Ben Saanane anakukubali?
 
Back
Top Bottom