Uchaguzi 2020 Mkutano Mkuu wa CCM kukutana Julai 11 na 12 kumpitisha Mgombea Urais Dkt. Magufuli na kupitisha Ilani

Uchaguzi 2020 Mkutano Mkuu wa CCM kukutana Julai 11 na 12 kumpitisha Mgombea Urais Dkt. Magufuli na kupitisha Ilani

CCM nao wana tu vyeo twa kupeana ulaji.
Eti Katibu wa Siasa. Kazi ambayo kimsingi anaweza ifanya Katibu mkuu na naibu wake. Hao Makatibu nao wana vikao chungu tele,posho mlima na mashangingi.
Katiba ya CCM na yenyewe ipo kiulaji ulaji.
 
Kwenye huo mkutano msinyweshane SUMU kama mlivyomfanyaa Mangula
 
Membe amekuwa na ushawishi gani nchi hii? Labda kwa wale ambao hawafahamu jinsi nchi zote duniani zinavyoongozwa. Membe anaweza kusimama na kusema hili limefanyika Tanzania kwa sababu mimi nilitenda hili au atatuonyesha tu jinsi alivyokuwa ananeemeka na nafasi aliyozawadiwa na JMK?
Tuwaogope Sana AINA YA VIONGOZI WENYE MTAZAMO WA KIZUNGU....
Tuwaogope Sana AINA YA VIONGOZI AMBAO WANAOAMINI MASULUHISHO YA AFRIKA YANAPATIKANA ULAYA au kupitia duru za kidiplomasia za kimataifa.......
 
Profesa Lumumba wa Kenya alipata kusema katika AFRIKA VYAMA vya siasa CREDIBLE ni CCM na ANC tu kwa kuwa vina MISIMAMO KATIKA KUWACHUKULIA HATUA WOTE WATOVU WA NIDHAMU NA TARATIBU ZAKE....

Miaka 6 ILIYOPITA mh.Membe na mh.Lowassa WALIONYWA NA WAKAITWA KUJIELEZA.....

1.LOWASSA(KAJIFUNZA KAJITAMBUA KABADILIKA NA KUACHA MAZOEA).
2.MEMBE(ni yuleyule wa 2014).

JITAMBUE BADILIKA ACHA MAZOEA NA TEMBEA NA MAGUFULI 2020.
We buyu kweli yani
 
Membe siyo Mwanachama kwani Alishafukuzwa.

Alifukuzwa na nani ikiwa hawakumpa barua ya kumfukuza uanachama? Alifukuzwa kwa kikao kipi kilichokaa ikiwa hata Mzee Mangula alikiri hadharani kuwa kikao kilichofanyika ni Batili!?

Nipo radhi kusahihishwa
 
Membe alisema, miaka 10 kwa Urais ni Utamaduni ndani ya CCM ila kikatiba ni miaka mi5 tu mnaingia tena kwenye Kinyang'anyiro cha kumtafuta mgombea. Hii kumpitisha, anapitishwaje?

Btw, mwenye kufahamu anijulishe huyo atakayekuwa Mwenyekiti wa Kamati kuu
 
CCM nao wana tu vyeo twa kupeana ulaji.
Eti Katibu wa Siasa. Kazi ambayo kimsingi anaweza ifanya Katibu mkuu na naibu wake. Hao Makatibu nao wana vikao chungu tele,posho mlima na mashangingi.
Katiba ya CCM na yenyewe ipo kiulaji ulaji.
Wale wasile,kikubwa kuna Uwazi wa Matumizi ya fedha,na vyeo ni muhimu kuepo Maana CCM ni taasisi kubwa,aiwezi kuongozwa na mtu mmoja tuu km chama cha Mbowe........
 
Wale wasile,kikubwa kuna Uwazi wa Matumizi ya fedha,na vyeo ni muhimu kuepo Maana CCM ni taasisi kubwa,aiwezi kuongozwa na mtu mmoja tuu km chama cha Mbowe........
TAASISI iliyosheheni watendaji kutoka MASHINANI Tanzania nzima Leo hii ISIGATUE utendaji kwa kuwa na wasaidizi wengi?!! Kweli wanachama wa CDM mapopoma....
 
Angechukua fomu hata mwingine huku bara walau wa kuzugia.......haka kamfumo kakiendelezwa, hakuna rangi itaachwa kuonwa.
 
Angechukua fomu hata mwingine huku bara walau wa kuzugia.......haka kamfumo kakiendelezwa, hakuna rangi itaachwa kuonwa.
Tatizo lenu hamtaki kukubali kuwa MIAKA 10 YA MH.DR SHEIN INAKWSHA ndio Maana wengi WAMEJITOKEZA ZANZIBAR....niambie NI watia Nia wangapi walijitokeza huko Zanzibar miaka 5 iliyopita?!!!!
Kakaaaa EEE Karibu FARU JOHN ya asubuhi mwenzako napasha hapa mbugani Sadani!!
 
Mgombea si tayari kashapita kuna haja ya kukutana!!
 
Angechukua fomu hata mwingine huku bara walau wa kuzugia.......haka kamfumo kakiendelezwa, hakuna rangi itaachwa kuonwa.
Ka mfumo kanakojenga nidhamu ya woga
 
Miaka 5 ilipita, miaka 5 itapita.
Ni kama jana tu mikono ilikuwa inazungushwa kuashiria mabadiliko, leo uchaguzi umefika, kesho inakuja. Miaka 10 ni michache, itaisha.
 
Back
Top Bottom