Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani ndani ya ccm huyu field marshal anaogopwa kuliko hata IDD Amin alivyokuwa anaogopwa Uganda.
Hakika CCM ya sasa sio ile ya zamani iliyokuwa na vijana mahiri wanaohoji kama kina Ulimwengu, Kingunge, JK, Moses Nnauye, Chakaza, Sitta nk. Hii ya sasa ni MDEBWEDO kabisa.View attachment 1488861
Mungu au yesu mpya?Ni hiyo hiyo moja, labda Magu aamue tu kumtolea photocopy Membe.
Wale vijana wanatafuta uteuziNawapongeza Sana vijana wa "CLOUD" maana watakuwa hewani kutuletea matangzo live siku ya kupitishwa
Upana upi mgombe mmoja?CCM ni chama kikubwa kina demokrasia pana!
Democracy inatakiwaUtaratibu wa Chama wewe unakuhusu nini? Vipi Konyagi imewafikisha hapo mnapotaka kwenda?
Mwaka huu membe atawatia majiMembe kapuni!!
Vipi kuhusu huyu field alcohol aliyeng'ang'ania uchairperson?Yaani ndani ya ccm huyu field marshal anaogopwa kuliko hata IDD Amin alivyokuwa anaogopwa Uganda.
Hakika CCM ya sasa sio ile ya zamani iliyokuwa na vijana mahiri wanaohoji kama kina Ulimwengu, Kingunge, JK, Moses Nnauye, Chakaza, Sitta nk. Hii ya sasa ni MDEBWEDO kabisa.View attachment 1488861
Hii kitu hatari afadhali uchanganyie mbege!Chadema cheki hapaView attachment 1488876
Ni aibu kuwa na mgombea mmoja tu!Kwa hiyo form ya Muungano ni ile ile moja?
Demokrasia ya kutoa form moja! 🤔CCM ni chama kikubwa kina demokrasia pana!
Mlevi mkuu yuko anakandwa kiguu chake cha konyagiMgombea wa Zanzibar anapitishwa na kamati kuu. Ule mkutano ni kikao cha walevi wanaokutana kula, kunywa na kufanya upuuzi!
MUNGU mbariki magufuliYaani ndani ya ccm huyu field marshal anaogopwa kuliko hata IDD Amin alivyokuwa anaogopwa Uganda.
Hakika CCM ya sasa sio ile ya zamani iliyokuwa na vijana mahiri wanaohoji kama kina Ulimwengu, Kingunge, JK, Moses Nnauye, Chakaza, Sitta nk. Hii ya sasa ni MDEBWEDO kabisa.
View attachment 1488861
Ya kuwa mwenyekiti wa kudumu hiyo pia Ni Domo krasiaDemokrasia ya kutoa form moja! [emoji848]
Democrasia pana inayoishia kwenye makwapa ya John Joseph Pombe Magufuli ?CCM ni chama kikubwa kina demokrasia pana!