Uchaguzi 2020 Mkutano Mkuu wa CCM kukutana Julai 11 na 12 kumpitisha Mgombea Urais Dkt. Magufuli na kupitisha Ilani

Uchaguzi 2020 Mkutano Mkuu wa CCM kukutana Julai 11 na 12 kumpitisha Mgombea Urais Dkt. Magufuli na kupitisha Ilani

Yaani ndani ya ccm huyu field marshal anaogopwa kuliko hata IDD Amin alivyokuwa anaogopwa Uganda.
Hakika CCM ya sasa sio ile ya zamani iliyokuwa na vijana mahiri wanaohoji kama kina Ulimwengu, Kingunge, JK, Moses Nnauye, Chakaza, Sitta nk. Hii ya sasa ni MDEBWEDO kabisa.
IMG-20200625-WA0028.jpg
 
Yaani ndani ya ccm huyu field marshal anaogopwa kuliko hata IDD Amin alivyokuwa anaogopwa Uganda.
Hakika CCM ya sasa sio ile ya zamani iliyokuwa na vijana mahiri wanaohoji kama kina Ulimwengu, Kingunge, JK, Moses Nnauye, Chakaza, Sitta nk. Hii ya sasa ni MDEBWEDO kabisa.View attachment 1488861

CHAMA kimeshika HATAMU,dereva bora KAPATIKANA....

Kama WARUSI wameamua PUTIN aendelee, Mimi kwanini NISIOMBE MUDA UFIKE niandamane na mh. Ally Kessy TUMSHINIKIZE MWANA BORA WA AFRIKA MAGUFULI aendelee kuongoza kwa KIPINDI KINGINE baada ya 2025.....

Eeee Mwenyezi Mungu MPE AFYA NJEMA NA KUMUWEKA HAI MBUNGE WA NKASI MH ALLY KESSY.
Aaamin thumma aaamin, yaa rabbal aalamin!!
 
Yaani ndani ya ccm huyu field marshal anaogopwa kuliko hata IDD Amin alivyokuwa anaogopwa Uganda.
Hakika CCM ya sasa sio ile ya zamani iliyokuwa na vijana mahiri wanaohoji kama kina Ulimwengu, Kingunge, JK, Moses Nnauye, Chakaza, Sitta nk. Hii ya sasa ni MDEBWEDO kabisa.View attachment 1488861
Vipi kuhusu huyu field alcohol aliyeng'ang'ania uchairperson?

JamiiForums1858942893.jpg

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Wazungu wengine huku wakiona ngozi nyeusi wanakutupia ndizi wakidhani wewe ni nyani.Sasa mnakaa kupitisha mgombea ambae ni mmoja .....Niliambiwa wachawi wa Gamboshi walitoa vitisho na tamko kua mtu atakae chukua fomu dhidi ya Magufuli ndani ya CCM atapotezwa kabisa.
 
Mgombea wa Zanzibar anapitishwa na kamati kuu. Ule mkutano ni kikao cha walevi wanaokutana kula, kunywa na kufanya upuuzi!
Mlevi mkuu yuko anakandwa kiguu chake cha konyagi
 
Back
Top Bottom