Tetesi: Mkutano Mkuu wasogezwa ni tarehe 16/08/2025, something big with part chaja

Tetesi: Mkutano Mkuu wasogezwa ni tarehe 16/08/2025, something big with part chaja

kumbukeni yote yanayofanywa mwaka wa uchaguzi mkuu ,ni lazima yazingatie katiba ya JMT ,yote yafanywayo na ccm yanakiuka katiba bunge bado halijavunjwa

Siku watakayokaa na chadema kuyamaliza ,ndipo mchakato kwenye vyama utaanzia pale...(baada ya reforms)

Na bado
Una uhakika mbunge alijavunjwa?

Juzi baraza la mawaziri lilivunjwa, hoja yangu inawezekana vipi baraza livunje kabla ya bunge?
 
Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party

Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea

Naposemaga mambo nakuwa najua ! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO

Britanicca
Siyo tarehe 28 July tena kama tulivyoambiwa na Makala?
 
Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party

Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea

Naposemaga mambo nakuwa najua ! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO

Britanicca
Sasa hivi nyuzi zako zinafutwa sana, usitaje taje sana majina.
 
Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party

Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea

Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO

Britanicca
Tuanze kufungua Zaburi ya 22 au bado kidogo, ndugu mwandishi?
 
Back
Top Bottom