Mwaka huu kampeni hakuna???Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party
Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea
Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO
Britanicca
Sisi wengine tuna amini katika uwezo wa watu na sio chama.Vyovyote vile CCM ni kansa kwa Tanganyika.
Kweli. Inaonekana huko ndani kuna fukuta moto. Kama vp wagawane mbao.View attachment 3414997
Tena ni 22/08/2025 ni mwezi kutoka sasa jambo kubwa linakuja
Kwamba hakuna ramli yake hata moja iliyowahi kutiki?Wewe jamaa miyeyusho kibao,sijasahau hekaya zako juu ya Dr Shika na hivi majuzi et Bashite yupo SA mahututi!!
Kamkataza akiwa na hoja gani?. Mbona kama de Janeiro nae ni royal follower wake?Kaambiwa amuachie de janeiro ila tezi dume kamkataza😎
Nyerere and all did this ...wanao pinga ikulu kukaliwa na wahuni na makahaba ikulu ni sehemu takatifu siyo pango la wezi na wapumbavu wanao amini wao wakila na kunya💩💩💩 ndiyo wamefungua nchi .Who did this?
Silent killing👍Msoga ndio anammaliza mama kimya kimya.inaitwa silent killer.
Kasemaje huyo dadaMange Kimambi kaja na jambo la moto kweli kweli muda si mrefu
De janeiro ana kundi kubwa la akina kiroboto ndo wanataka meza ipulinduliwe.Kamkataza akiwa na hoja gani?. Mbona kama de Janeiro nae ni royal follower wake?
Roho mbaya za udini mwekeni pengi sasaDe janeiro ana kundi kubwa la akina kiroboto ndo wanataka meza ipulinduliwe.
Mbona wamesema ni kesho au wanataka kubadilisha vifungu kwenda kuhararisha walichopanga kukifanya hiyo tarehe britaniccaKatika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party
Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea
Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO
Britanicca
Analamba koniHuyu britanicca jamaa mwongo mwongo yuko wapi siku hizi