Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Wajumbe tutakufa kwa presha tuna maden jmn na tulahaid kulipa baada ya mkutano 😌😌
Unaneni tuKatika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party
Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea
Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO
Britanicca
Tumeshatoa sababu ya kuahirishwa na hakuna kitakachoharibika. Uchaguzi uko palepale.
Oktoba kila mtanzania ikiwa ni pamoja na wewe tutatiki( √) kwa nama.
Kife tu hiki chama, kifeKatika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party
Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea
Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO
Britanicca
Isipokuwa kwenye ile issue ya "mtoto pendwa yuko mautiuti", hapo ulituingiza cha kike 😆Naposemaga mambo nakuwa najua!
Aaah miye silambi viatu wewe km wewe kufa na usionekane tenaHangaika kwanza kumuomba amalize ulofa ulionao kwanza
Sala ya baba yetu uliye Mbinguni inakutaka uombe akupe riziki yako kwanza
Wewe unakesha kuhangaika na maombi ya taifa yako binafsi yamekushinda farisayo wewe
Umaskini utakuua shauri yako
Bibi Kizimkazi kawekwa mtu kati.
Mkuu vipi zile tetesi kuwa Bi.Mkubwa kawekwa kizuizini,ni za kweli?
😃😃Acha tu Bora tupate kidogo experience ya kusimulia...watupe hekaheka😂Unawajua lakini wale wakishaonja madaraka? Utaomba serikali ya kiraia irudi.
Nani kabishaVyovyote vile Uchaguzi Mkuu UTAFANYIKA na Mgombea Urais wa CCM ni Rais Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza ni Dk. Emmanuel Nchimbi.
Hahaha, Hapana mkuu. Halafu shida ya madaraka ukishayaonja yana tabia ya kuganda akilini.😃😃Acha tu Bora tupate kidogo experience ya kusimulia...watupe hekaheka😂
Yetu macho, watajijuaKatika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party
Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea
Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO
Britanicca
Watu kwa uzushi!! Hamchoki tu. Wengine wanasema amekufa, wewe unasema yuko kizuizini ili tu mfurahishe akili zenu mbovuBibi Kizimkazi kawekwa mtu kati.
Mkuu vipi zile tetesi kuwa Bi.Mkubwa kawekwa kizuizini,ni za kweli?
Britanicca kachemsha safari hii kama habari zile za mtoto Pendwa.Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party
Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea
Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO
Britanicca
Hako kadada ni Kanesi pale Tunduru Government hospitalWe jamaa unajikuta bingwa wa matusi sana?
Kaambiwa amuachie de janeiro ila tezi dume kamkataza😎Mbona wengine wanadai kasusa akaamua kwenda nyumbani kupumzika.
Mayday any ships around Lumumba hear me? This is MV CCM – two holds blazing furiously – no chance to put the fire out – plates buckling – got into trouble with the machinery, too – total blackout – please come at once – the situation on the brink – she may go down any minute – we can’t last much longer – over.
Weye wadhani walijiuzulu kwa hiari?Mzee Mangula na Mzee kinana hawakupasa kujiudhuru kabla ya Oct 2025.Angalia sasa bus limekosa breki kwenye mteremko baadhi ya abiria wameanza kujirusha nje
Kwani Msoga ni basha wako ?Oktoba ndiyo mtamjua msoga ni Mungu au Binadamu.
Kama vipi hamieni Burundi