Tetesi: Mkutano Mkuu wasogezwa ni tarehe 16/08/2025, something big with part chaja

Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party

Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea

Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO

Britanicca
Mimi Ponjoro wa Kinondoni nimeanza kukata tamaa ya kurudi mjengoni.
 
Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party

Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea

Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO

Britanicca
Mkutano mkuu au kamati kuu?
 
Wamesoma nyakati mkuu HALI SI shwari kama tunavo aminishana

Kwishaaaaaa

Bro Alex on da beats yoow
 
Never ardhi tumeiamuru na mbingu na anga, viwatapike km Mungu aishivyo....
Sa mtapigia kura hewa 😅
Unaamuru wewe Mungu mjinga wewe
Huna mamlaka hayo

Mbingu na nchi na vyote vijazavyo ulimwengu ni mali ya Mungu sio ya kwako au ya mama yako.

Viongozi wote huwekwa na Mungu sio wewe au mama yako
Unaamuru kama nani?

Ungekuwa na ubavu huo ungefunga roho ya umaskini kwenye maisha yako kwanza

Unahangaika na nchi wakati mipepo ya ulofa maishq yako tu imekushinda

Mjinga mkubwa wewe hayo mamlaka yako hangaika yamalize ulofa ulionao kwanza kabla kuparamia ya taifa
 
Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party

Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea

Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO

Britanicca
Lete ushahidi mkuu Tetesi zinatuchosha!
 
Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party

Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea

Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO

Britanicca
Sema walikosea tu kumuua Dkt Magufuli halafu eti wakawa wanatamba hahaha yaani acheni tu watu tulilia na tunaendelea kulia.
 
Mungu jibu maombi ya watanganyika tuko pamoja na trendi hizi mpk mtuuwe.
Hangaika kwanza kumuomba amalize ulofa ulionao kwanza

Sala ya baba yetu uliye Mbinguni inakutaka uombe akupe riziki yako kwanza

Wewe unakesha kuhangaika na maombi ya taifa yako binafsi yamekushinda farisayo wewe

Umaskini utakuua shauri yako
 
kumbukeni yote yanayofanywa mwaka wa uchaguzi mkuu ,ni lazima yazingatie katiba ya JMT ,yote yafanywayo na ccm yanakiuka katiba bunge bado halijavunjwa

Siku watakayokaa na chadema kuyamaliza ,ndipo mchakato kwenye vyama utaanzia pale...(baada ya reforms)

Na bado
Wanaweza wasikae nao pia.
 
Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party

Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea

Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO

Britanicca
Kimeumana mwaka huu; sasa yule bichwa mviringo kama emoji tarh 28 yake aliitoa wapi??😂😂
 
Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party

Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea

Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO

Britanicca
Tunashukuru kwa taarifa, lakini huaminiki sana.
 
Back
Top Bottom