Tetesi: Mkutano Mkuu wasogezwa ni tarehe 16/08/2025, something big with part chaja

Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party

Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea

Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO

Britanicca
Yaani kama anafaa ni kwanini asitoke ndani wakati wa kujadili jina lake?
 
Hangaika kwanza kumuomba amalize ulofa ulionao kwanza

Sala ya baba yetu uliye Mbinguni inakutaka uombebakupe riziki yako kwanxa

Wewe unakesha kuhangaika na maombi ya taifa yako binafsi yamekushinda farisayo wewe

Umaskini utakuua shauri yako
Wewe kazi yako ya uchawa inakulipa vema au sio
 
Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party

Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea

Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO

Britanicca
We bwege tafuta kazi ya kufanya. Ht waahirishe mpk Septemba ww unawashwa na nini, ndio maana mnaishia kulalamikia umaskini unapoteza muda wako ktk mambo yasiyokuhusu. Nashindwa kuelewa mwanaume mzima unawashwawashwaje na jambo lisilokuhusu? We utakuwa msenge unashabikia ujuha
 
kumbukeni yote yanayofanywa mwaka wa uchaguzi mkuu ,ni lazima yazingatie katiba ya JMT ,yote yafanywayo na ccm yanakiuka katiba bunge bado halijavunjwa

Siku watakayokaa na chadema kuyamaliza ,ndipo mchakato kwenye vyama utaanzia pale...(baada ya reforms)

Na bado
Lioneni zuzu hili, tuna safari ndefu. Tuna vijana ni janga wamedumaa akili
 
We bwege tafuta kazi ya kufanya. Ht waahirishe mpk Septemba ww unawashwa na nini, ndio maana mnaishia kulalamikia umaskini unapoteza muda wako ktk mambo yasiyokuhusu. Nashindwa kuelewa mwanaume mzima unawashwawashwaje na jambo lisilokuhusu? We utakuwa msenge unashabikia ujuha
Matusi ya nini?
 
Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party

Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea

Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO

Britanicca
August is loading.........🤣🤣🤣
 
Hawa CCM bila kuja na mgombea wa umma hiki chama kinawafia asubuhi na mapema kabla jogoo hajawiki
miaka yote minne hii wamesema mitano tena mkuu na fomu ni moja --- sisi tumepokea wito wao wasibadilike hapa mwishoni
 
Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party

Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea

Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO

Britanicca
Mkuu mbona kuna fununu kuwa wanaogopa mtifuano wa wabunge watakaokatwa sasa hivi hivyo wanavuta muda? Halafu wanasema ''kibibi'' kimeshajiweka vizuri kamati kuu itampitisha ili kuondoa malalamiko yaliyotokea? Kwa kifupi wanasema kibibi kiko sana na hakuna mwenye ubavu wa kukiondoa!!
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party

Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea

Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO

Britanicca
utasogezwa tena na tena hadi Lisu atoke gerezani,huko kijani kumewaka c mchezo
 
Shehe naona dua nyingi mpaka maji yameisha msikitini lakini samia ndio kwanza anazidi kukataliwa.
sasa ponjoro chuki yako pekeyako,
na labda na maponjoro wenzie wachache dhidi ya Dr.Samia Suluhu Hassan itafaa nini dhidi ya mapenzi ya dhati ya mamilioni ya waTanzania kwa mama huyu kinara na kichocheo cha maendeleo ya wananchi wote Tanzania kijamii, kisiasa na kiuchumi?

nadhani mamilioni ya watanzania watakua wanawashangaa tu muonekano wa maponjoro yenye chuki ulivyo :pedroP:
 
Tabiri zako zinakua na ukakasi sana mpaka tuone ndo tutaamini
 
Hahaha tupo tumekaaa ila kumbuka huu mwaka hakuna uchaguzi
ramli za kilofa kama hizo ni useless gentleman, dah.

uchaguziu ni october,
na ni vizuri ukawaeleza na wenzako wote bila kificho kwamba hakuna muujiza mwingine wa kishirikina kwenye hilo
 
Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party

Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea

Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO

Britanicca
Rais na makamu wa rais walishajiteua, shida iko wapi?
 
Back
Top Bottom