Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
inasikitisha sana na inafedhehesha sana aiseWatu wanaleta tabiri ka waganga wa kienyeji wale wala kuku za watu
inasikitisha sana na inafedhehesha sana aiseWatu wanaleta tabiri ka waganga wa kienyeji wale wala kuku za watu
Mkuu kwa hizi Mada wanazo anzisha hawa waungwana hazina maana kabisa hivi kweli CCM itaacha kuongoza kwa aina ya siasa za maji taka kiasi hiki!?.inasikitisha sana na inafedhehesha sana aise
Maskini mumbeya wewe badala ya kwenda kwa Mungu uongee naye ufanye nini ulofa na umaskini wako uishe unahangaika na mambo ya kijinga ukiota ndoto za kijingaMungu wa Mbinguni amekataa Samia kuwa Rais wa Tanganyika tena, akibisha shauri yake.
ccm itatawala nchi hii mpaka ukamilifu wa dahari,Mkuu kwa hizi Mada wanazo anzisha hawa waungwana hazina maana kabisa hivi kweli CCM itaacha kuongoza kwa aina ya siasa za maji taka kiasi hiki!?.
Hilo la wabunge wangerudisha utaratibu wa zamani wa kupigiwa kura za maoni wote waliochukua fomuMkuu mbona kuna fununu kuwa wanaogopa mtifuano wa wabunge watakaokatwa sasa hivi hivyo wanavuta muda? Halafu wanasema ''kibibi'' kimeshajiweka vizuri kamati kuu itampitisha ili kuondoa malalamiko yaliyotokea? Kwa kifupi wanasema kibibi kiko sana na hakuna mwenye ubavu wa kukiondoa!!
Wewe kama Mungu anakukubali mbona una maisha kipengele kwenye riziki ya uhakika?Mungu wa Mbinguni amekataa Samia kuwa Rais wa Tanganyika tena, akibisha shauri yake.
Kwakweli mkuu hata sitashangaa watu wanautashi ulio bora lakni bado wanasapoti ramli za kitoto sana,jaman hivi kweli kiongozi mkubwa na namba 1. Tunataka azagae kitaani khaa uyo mkuu wa wilaya tu akiamua kujiadimisha hatumuoni itakua namba 1.ccm itatawala nchi hii mpaka ukamilifu wa dahari,
ccm haiwezi kubabaika na siasa za vibaka na matapeli wa kisiasa waliopoteza uelekeo kama hao wanaopotosha wadau wa JF kwa ramli za kilofa kama hiyo mezani.
Jeshi liendelee kulinda mipaka yetu wasionjeshwe madaraka.Jeshi likae standby tu, watu washafeli tayari na wanazidi kuvuruga utaratibu..jeshi lingewapokea kutawala hata mwaka mmoja wakati linarudisha mambo kama kawaida yake
Hiiiii baghosha!
Utaratibu gani tena mazee kwenye huu m-chama uliojaa rushwa kila kona? Wamejaa wapiga deal wanatumia ujinga wa watanzaniaHilo la wabunge wangerudisha utaratibu wa zamani wa kupigiwa kura za maoni wote waliochukua fomu
Mungu yupo pamoja nasi!Unaota. Hakuna kitakachoshindikana ikiwa Msoga yuko nasi bega kwa bega.
Mama mitano tena!