Tetesi: Mkutano Mkuu wasogezwa ni tarehe 16/08/2025, something big with part chaja

Tetesi: Mkutano Mkuu wasogezwa ni tarehe 16/08/2025, something big with part chaja

Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party

Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea

Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO

Britanicca
Wabota kyoma, kiki yabayoki anga bwaya?
 
Tumeshatoa sababu ya kuahirishwa na hakuna kitakachoharibika. Uchaguzi uko palepale.
Oktoba kila mtanzania ikiwa ni pamoja na wewe tutatiki( √) kwa nama.
Ndio, lazima mtatiki kwa MANA[emoji57]

Hata kuandika kunakushinda mwnfibe utawezea wapi punguani wahed!
 
Back
Top Bottom