Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,213
Kila dalili uchaguzi unaweza usiwepo octoberWatakuwa wanasogeza mpaka mwaka uishe.....hahaha
Kila dalili uchaguzi unaweza usiwepo octoberWatakuwa wanasogeza mpaka mwaka uishe.....hahaha
Never ardhi tumeiamuru na mbingu na anga, viwatapike km Mungu aishivyo....Vyovyote vile Uchaguzi Mkuu UTAFANYIKA na Mgombea Urais wa CCM ni Rais Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza ni Dk. Emmanuel Nchimbi.
1. Mti ni mtuMti ulioinuka Ghafla ni NRNE ya TAL
Ht ukiwepo wagombea sio wanaodhaniwa, km Mungu aishivyoKila dalili uchaguzi unaweza usiwepo october
Refer Nebukadreza ,yes mti ni mtu,utawala ,ufalme etc1. Mti ni mtu
2. Mti ni utawala/ ufalme
3. Mti ni mti.
Rais mbona Dkt Samia anatosha sanaTutaona mengi.
But I pray we get a new president this year.
This Tanzania needs a visionary leader
Hapo Kuna km watu 3 ....Mti ulioinuka Ghafla ni NRNE ya TAL
Uongo mtupuKatika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party
Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea
Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO
Britanicca
Chawa msukule unapambania buku 7Wagombea wa nafasi ya ubunge ni wengi muda wa kuwajadili na kuwachuja ni mdogo ndio maana wamesogeza mbele acha kuleta taharuki. Ufafanuzi ulikwisha tolewa sababu ya kuchelewa. Kwa taarifa tu kuna Jimbo waliochukuwa form na kurudisha wanafika mpaka 18 ona?
Kwa usomi wangu, hili siwezi kujibu. Tafuta "manabii" wenzako mjibizane kwalo! Ahahahahaha!!Never ardhi tumeiamuru na mbingu na anga, viwatapike km Mungu aishivyo....
Sa mtapigia kura hewa 😅
Yaache yauane,sisi tunasimama na reformsMwaka huu Watauana sana
Waumini mnaosali hilo kanisa hameni kasalini makanisa yaliyotulia msifanywe misukule ya makanisa ya manabii wapiga pesa kwa jina la unabii mtafilisika na kufa na mitatizo yenu shauri yenuTaratibu,tutaoneshana makali
mtoto wa shule naye anayaingilia maongezi ya wazazi wake. watoto wa siku hizi nidhamu ni sifuri.Nimekubali wewe ni Mtoto wa Shule