Tetesi: Mkutano Mkuu wasogezwa ni tarehe 16/08/2025, something big with part chaja

Tetesi: Mkutano Mkuu wasogezwa ni tarehe 16/08/2025, something big with part chaja

Tumeshatoa sababu ya kuahirishwa na hakuna kitakachoharibika. Uchaguzi uko palepale.
Oktoba kila mtanzania ikiwa ni pamoja na wewe tutatiki( √) kwa nama.
Sababu ilikuwa ipi iliyotolewa na chama?? Achana na mzee wa mchujo wa wagombea ubunge zaidi ya elfu 10 wakati taarifa ya uchukuaju fomu ilisema walikuwa 4109
 
Hta
Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party

Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea

Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO

Britanica
Hata CHAN ya mwaka huu ilitakiwa ichezwe mwaka 2024 lkn inachezwa mwaka huu wa 2025.
Ilicheleweshwa tu
July July ipo pale pale
 
Unateua wagombea na bunge bado liko hai hii bado sijaielewa kabisa. Ni mbinu chafu za kudhibiti mawazo mbadala.
 
Wewe kazi yako ya uchawa inakulipa vema au sio
Kwenda zako huko kama unajua kuomba piga maombi ya kumaliza ulofa wako kwanza

Charity begins at home
Yesu alisema kuwa kwanza ombeni Mungu awape riziki yenu kwanza

CHADEMA wamejaa malofa choka mbaya ukiwemo wewe Lisu na Heche na Godbless Lema,askofu Mwamakula, Mnyika,Golugwa nk na wajumbe kibao kamati kuu nk CHADEMA hata hawana shughuli za kuwaingizia kipato cha kueleweka wanategemea tonetone waombee hao kuwa ee Mungu wasaidie wapate riziki ya kueleweka na uwaombee hao viongozi wako wa CHADEMA Mungu awaepushe na majaribu ya yule mwovu ya kutegemea tonetone kuendesha maisha yao

Acha kuwewseka kuomba kwa uchungu maombi yasiyokuhusu nje ya hapo huo ni umbeya kwenye maombi
 
Kwa usomi wangu, hili siwezi kujibu. Tafuta "manabii" wenzako mjibizane kwalo! Ahahahahaha!!
Kwa usomi Kwa mfano 😅
Waliosoma Hawana akili za kipuuzi na kichawa
No wonder nchi haisogei km na we ndo msomi tuna safari ndefu

Mi sio nabii Kwa taarifa Yako kazi ishaisha hatucheki na chawa this yr
 
We bwege tafuta kazi ya kufanya. Ht waahirishe mpk Septemba ww unawashwa na nini, ndio maana mnaishia kulalamikia umaskini unapoteza muda wako ktk mambo yasiyokuhusu. Nashindwa kuelewa mwanaume mzima unawashwawashwaje na jambo lisilokuhusu? We utakuwa msenge unashabikia ujuha
Ulivyoandika as if unamlisha wewe!! Jambo la nchi kwa nini lisimhusu? We ubayoyaandika yote humu huwa yanakuhusu?
 
Unaamuru wewe Mungu mjinga wewe
Huna mamlaka hayo

Mbingu na nchi na vyote vijazavyo ulimwengu ni mali ya Mungu sio ya kwako au ya mama yako.

Viongozi wote huwekwa na Mungu sio wewe au mama yako
Unaamuru kama nani?

Ungekuwa na ubavu huo ungefunga roho ya umaskini kwenye maisha yako kwanza

Unahangaika na nchi wakati mipepo ya ulofa maishq yako tu imekushinda

Mjinga mkubwa wewe hayo mamlaka yako hangaika yamalize ulofa ulionao kwanza kabla kuparamia ya taifa
Wewe ndo mjinga wa kwanza usiyejua majira na nyakati 😂😂
Mbona mapema sn mnapanic Bado picha yenyewe make Kwa kutulia huu mwaka hatucheki na chawa Wala kima yyt
ndio tumepewa mamlaka kasome biblia,hahaha

Ndio neno linasema sisi ni miungu....haya una lipi
Narudia ardhi imeshatapika hakai mtu never in this land
 
Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party

Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea

Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before July au jambo laweza cheleweshwa cheleweshwa Lakin JAMBO NI JAMBO

Britanicca
Zamani ulikuwa vizuri sasa hivi nadhani network iliyokuwa inakupa feedback reliable haipo tena

Umebaki kituko

Rejea post zako za mwaka huu 2025 Kuanzia January 2025 uko bwege tu tena bwege mtozeni
 
Back
Top Bottom